GFI-Bado Liko Tumaini

GFI-Bado Liko Tumaini Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GFI-Bado Liko Tumaini, Religious organisation, Monduli, Arusha.

G.F.I-Bado Liko Tumaini ni shirika la Kiroho lisilofungamana na dhehebu lolote,linafungamana na wokovu..Tunaibua na kulea huduma,vipawa na vipaji vya vijana waliookoka na kuvitangaza duniani kote.

NDIVYO MWAKA WA GFI umeitimishwa hivyo September 2025 kwa Mkutano wa Injili Shinyanga-Ushetu-Uliwa-kangeme
29/09/2025

NDIVYO MWAKA WA GFI umeitimishwa hivyo September 2025 kwa Mkutano wa Injili Shinyanga-Ushetu-Uliwa-kangeme

Hitimisho la mkutano mkuu wa Injili na GFI Shinyanga, ushetu,ulowa,kangeme September 2025
29/09/2025

Hitimisho la mkutano mkuu wa Injili na GFI Shinyanga, ushetu,ulowa,kangeme September 2025

Matukio katika mkutano mkubwa wa Injili na GFI, uliofanyika Shinyanga-Ushetu-ulowa-Kangeme September 2025
29/09/2025

Matukio katika mkutano mkubwa wa Injili na GFI, uliofanyika Shinyanga-Ushetu-ulowa-Kangeme September 2025

Mkutano mkubwa wa Injili chini ya Huduma ya GFI, Uliofanyika Shinyanga-Ushetu, Ulowa-Kangeme.
29/09/2025

Mkutano mkubwa wa Injili chini ya Huduma ya GFI, Uliofanyika Shinyanga-Ushetu, Ulowa-Kangeme.

Matukio ya Kongamano la Kitaifa na kimataifa la mwaka la GFI la September 2025 Simiyu Bariadi.
29/09/2025

Matukio ya Kongamano la Kitaifa na kimataifa la mwaka la GFI la September 2025 Simiyu Bariadi.

Matukio muhimu ya Kongamano Kuu la Mwaka la GFI lililo fanyika Simiyu Bariadi September 2025 part 1.
29/09/2025

Matukio muhimu ya Kongamano Kuu la Mwaka la GFI lililo fanyika Simiyu Bariadi September 2025 part 1.

11/09/2024

BAADA YA MATUKIO KATIKA PICHA SASA ZITAKUJIA CLIPS ZA KONGAMANO LA GFI-RUVUMA 2024 HAPO KESHO.

Maaskofu wa Makanisa mbalimbali chini ya Umoja wa CPCT RUVUMA wakiagana na Mkurugenzi wa GFI wakitamka Neema ya Mungu ju...
11/09/2024

Maaskofu wa Makanisa mbalimbali chini ya Umoja wa CPCT RUVUMA wakiagana na Mkurugenzi wa GFI wakitamka Neema ya Mungu juu yake kwa Safari na Huduma Hii kubwa ya Shirika la GFI-Bado Liko Tumaini Duniani.

Baadhi ya Members wa GFI wa Ruvuma walio udhuria Komgamano la GFI siku ya J2 ambapo Viongozi wa GFI walitawanyika Makani...
11/09/2024

Baadhi ya Members wa GFI wa Ruvuma walio udhuria Komgamano la GFI siku ya J2 ambapo Viongozi wa GFI walitawanyika Makanisa yote kuhudumia Makanisa hayo.

GFI-BADO LIKO TUMAINI TEAM NA VIONGOZI WA GFI KWENYE PUCHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA CPCT RUVUMA NA WACHUNGAJI WALIOUDHUR...
11/09/2024

GFI-BADO LIKO TUMAINI TEAM NA VIONGOZI WA GFI KWENYE PUCHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA CPCT RUVUMA NA WACHUNGAJI WALIOUDHURIA KONGAMANO NA MAASKOFU WAKITOA NENO LA BARAKA KWA SHIRIKA LA VIJANA LA GFI KABLA YA KUAGANA NA MKURUGENZI WA GFI.

Day4. Mkurugenzi katika somo lake la kwanza Ev Elisha Kazimoto Ruvuma Kigonsera
11/09/2024

Day4. Mkurugenzi katika somo lake la kwanza Ev Elisha Kazimoto Ruvuma Kigonsera

Day3.Saa ya watu kukimbilia kwa Yesu na Kufunguliwa na Mnenaji wa siku ya 3.Mkurugenzi wa GFI-Bado Liko Tumaini Ev Elish...
11/09/2024

Day3.Saa ya watu kukimbilia kwa Yesu na Kufunguliwa na Mnenaji wa siku ya 3.Mkurugenzi wa GFI-Bado Liko Tumaini Ev Elisha Kazimoto.

Address

Monduli
Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GFI-Bado Liko Tumaini posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share