Reality of Christ Church - Arusha

Reality of Christ Church - Arusha Karibu sana kwenye IBADA YA NENO LA MUNGU Kila Ijumaa : 10:00 jioni na Jumapili saa 3:00 Asubuhi.

Kesho si siku ya kawaida. Ni siku ya kukutana na Mungu.Usikose ibada, njoo k**a ulivyo. Karibu kanisani πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³
05/09/2026

Kesho si siku ya kawaida. Ni siku ya kukutana na Mungu.

Usikose ibada, njoo k**a ulivyo.

Karibu kanisani πŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³

πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯DAY FIVE πŸ™πŸ”₯ | 04 SEPTEMBER 2026Tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya tano na ya mwi...
04/09/2026

πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯

DAY FIVE πŸ™πŸ”₯ | 04 SEPTEMBER 2026

Tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya tano na ya mwisho ya mfungo wetu. πŸ™Œ Leo tunamalizia kwa maombi ya kumkabidhi Mungu mwezi huu wa 9, tukiamini atuongoze katika kila hatua na kutufikisha kwenye mafanikio. πŸ”₯

πŸ™ PRAYER POINT

Mungu atuongoze ndani ya mwezi wa tisa tukapate mafanikio.

πŸ“– RUM 8:14
"Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio wana wa Mungu."

πŸ“ Reality of Christ Arusha – Njiro β€œBP” baada ya Eden Garden
πŸ•š Saa 11:00 Jioni

Karibu tumalizie mfungo pamoja, tuombe pamoja na kumshukuru Mungu kwa yale aliyotenda na yale anayokwenda kufanya. πŸ™πŸ”₯

USIKOSE SIKU YA MWISHO! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯





πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯DAY FOUR πŸ™πŸ”₯ | 03 SEPTEMBER 2026Tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya nne ya mfungo ...
03/09/2026

πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯

DAY FOUR πŸ™πŸ”₯ | 03 SEPTEMBER 2026

Tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya nne ya mfungo wetu. Leo tunasimama katika maombi tukiamini kwamba Mungu anaweza kuondoa kila jambo lililofichwa linaloleta maumivu, hasara na dhuluma katika familia zetu. πŸ™

πŸ™ PRAYER POINT

Mungu akurehemu na kila utambulisho uliowahariwa kwa madai ya laana, hila na dhuluma kutoka katika familia.

Tunaomba rehema za Mungu zifute kila kumbukumbu isiyompendeza Mungu na kutufungulia njia ya ushindi, amani na baraka. πŸ”₯

πŸ“– ZABURI 10:7

πŸ“ Reality of Christ Arusha – Njiro β€œBP” baada ya Eden Garden
πŸ•š Saa 11:00 Jioni

Karibu tufunge pamoja na tuombe pamoja.
πŸ”₯ Usikose DAY FOUR β€” kuna jambo Mungu analifanya! πŸ”₯





πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯DAY THREE πŸ™πŸ”₯ | 02 SEPTEMBER 2026Tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya tatu ya mfung...
02/09/2026

πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯

DAY THREE πŸ™πŸ”₯ | 02 SEPTEMBER 2026

Tunamshukuru Mungu kwa kutufikisha siku ya tatu ya mfungo wetu. Leo tunasimama katika imani, tukiamini kwamba rehema za Mungu zitatangulia mbele yetu na kutufanyia njia katika mwezi huu wa 9. πŸ™πŸ”₯

πŸ™ PRAYER POINT

Rehema za Mungu zikatangulie mbele yetu huu mwezi wa 9.
Tunaomba neema na rehema zake ziende mbele yetu katika kila jambo, kila hatua na kila eneo la maisha yetu.

πŸ“– OMB 3:22–23
"Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, kwa kuwa rehema zake hazikomi. Ni mpya kila siku asubuhi; uaminifu wako ni mkuu."

πŸ“ Reality of Christ Arusha – Njiro β€œBP” baada ya Eden Garden
πŸ•š Saa 11:00 Jioni

Karibu tufunge pamoja na tuombe pamoja.
πŸ”₯ Usikose siku ya tatu! Mungu wa rehema anakutangulia. πŸ”₯





πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯DAY TWO πŸ™πŸ”₯ | 01 SEPTEMBER 2026Mwezi mpya umeanza, na ni wakati wa kumshukuru Mungu, kumk...
01/09/2026

πŸ”₯ 05 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯

DAY TWO πŸ™πŸ”₯ | 01 SEPTEMBER 2026

Mwezi mpya umeanza, na ni wakati wa kumshukuru Mungu, kumkabidhi mwezi huu na kuomba mkono wake ututangulie katika kila hatua. πŸ™

πŸ™ PRAYER POINTS

1️⃣ Mshukuru Mungu kwa ajili ya mwezi wa 9.

2️⃣ Muombe Bwana Yesu akutangulie na katika kila kitu unachofanya mwezi huu, aondoe kila kizuizi kinachozuia safari yako na ya familia yako kuendelea katika ahadi Zake.

3️⃣ Omba milango ya fursa iliyoko ndani na mwezi wa 9 ifunguke, na neema yake ikuwezeshe kumiliki kila fursa.

4️⃣ Muombe Mungu akupe alama ya ushindi katika mwezi huu wa 9, ushuhuda unaoonekana wa wema wake, neema yake na uaminifu wake. πŸ”₯

πŸ“– ISAYA 62:10

πŸ“ Reality of Christ Arusha – Njiro β€œBP” baada ya Eden Garden
πŸ•š Saa 11:00 Jioni

Karibu tufunge pamoja na tuombe pamoja. Usikose! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

πŸ”₯ DAY ONE | 5 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯Leo tunaanza safari ya siku tano za kufunga na kuomba tukiwa na mioyo ya shukra...
31/08/2026

πŸ”₯ DAY ONE | 5 DAYS OF FASTING & PRAYERS πŸ”₯

Leo tunaanza safari ya siku tano za kufunga na kuomba tukiwa na mioyo ya shukrani na imani.

Tunamshukuru Mungu kwa mwezi wa Agosti na tunaomba akamilishe kila kazi njema aliyoianzisha. Tunaingia mwezi mpya tukiwa na ahadi, baraka na ushindi katika Jina la Yesu.

πŸ“– Wafilipi 1:6

πŸ•š 11:00 Jioni

πŸ“ Reality of Christ Arusha
Njiro β€œBP” baada ya Eden Garden

Karibu tuombe pamoja.

Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili ya ibada ya Leo. Mungu ametuhudumia sana na tumemuona kwa Ukubwa sana. Mungu akubariki...
30/08/2026

Tunamshukuru sana Mungu kwa ajili ya ibada ya Leo. Mungu ametuhudumia sana na tumemuona kwa Ukubwa sana. Mungu akubariki sana na Asante kwa kujumuika nasi

Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Ibada ya Leo katika kipindi hiki cha kwanza. Hakika tumemuona Bwana
30/08/2026

Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Ibada ya Leo katika kipindi hiki cha kwanza. Hakika tumemuona Bwana

Address

Geti Linalofuata Baada Ya Eden Garden
Arusha
23208

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Reality of Christ Church - Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share