30/08/2026
Uzinduzi wa Sherehe za Kuzaliwa za Watoto wa Sunday School
(Mwezi Agosti)! π
Leo ilikuwa Ibada ya kipekee na ya baraka sana , ambapo baada ya Ibada tumezindua rasmi mpango wa watoto wa shule ya jumapili (Sunday school)
kila jumapili ya mwisho wa mwezi tutakuwa na sherehe ndogo kuwabariki na kuwasherehekea watoto wote wanaoadhimisha kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwezi husika.
Tunawapongeza sana watoto wetu wapendwa walioufungua mwezi huu wa Agosti kwa shangwe na tabasamu! Mungu awatunze, awaongoze, na kuendelea kuwapa hekima, Upendo ,Amani ,umoja na Furaha πβ¨