Evalengical Lutheran Church in Tanzania

Evalengical Lutheran Church in Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Evalengical Lutheran Church in Tanzania, Church of God, Arusha.

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, ni mojawapo ya makanisa makuu nchini Tanzania yanayohubiri Injili ya Kristo na Kuwajenga watu Kiroho na Kimwili kupitia makanisa na mashirika yake mbalimbali yaliyoenea kote nchini Tanzania!

Karibuni nyote!!
21/07/2025

Karibuni nyote!!

Baadhi ya matukio ya Ibada ya Jumapili ya Siku ya Bwana ya 5 baada ya Utatu iliyofanyika KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Ma...
21/07/2025

Baadhi ya matukio ya Ibada ya Jumapili ya Siku ya Bwana ya 5 baada ya Utatu iliyofanyika KKKT - Dayosisi ya Kaskazini Mashariki (KKKT-DKMs), Usharika wa Kanisa Kuu Lushoto Julai 20, 2025.

Ibada hii iliongozwa na Mkuu wa Dayosisi hiyo, Baba Askofu Dkt. Msafiri Joseph Mbilu, ambayo ilikuwa maalumu kwa tendo la kumuingiza kazini Msaidizi wa Askofu KKKT-DKMs Mchg. Frank Richard Mntangi.

Dean Mntangi ameingizwa kazini baada ya mtangulizi wake, Mchg. Dean Michael Mlondakweli Kanju, kustaafu Aprili mwaka huu.




Mkuu wa Kanisa na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa ameweka Jiwe la Msingi  la ujenzi wa jeng...
20/07/2025

Mkuu wa Kanisa na Askofu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Dkt. Alex Malasusa ameweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa jengo jipya la kuabudia la Usharika wa Tegeta Bethania leo Julai 20, 2025 katika Ibada ya Jumapili iliyoambatana na kuweka Jiwe la Msingi.

Wakristo kutoka sehemu mbalimbali wameungana na Washarika wa Tegeta Bethania katika Ibada hiyo Takatifu na ya Kihistoria.

20/07/2025

Tuungane pamoja walutheri kupokea maagizo mazuri ya kiongozi wetu Baba Askofu Dkt Ernest Nzelu (DKMZV)
TUSIHARIBU Uchaji wa Ibada, TUSIPOTOSHE kiazazi kijacho!!

13/07/2025

Hi everyone! 🌟 You can support us by sending Stars - they help us earn money to keep making content you love.

Whenever you see the Stars icon, you can send me Stars!

Elezea furaha yako unapoona picha K**a hii ya viongozi wetu!
13/07/2025

Elezea furaha yako unapoona picha K**a hii ya viongozi wetu!

Mwakilishi wa mhe, Rais Samia Suluhu Hassan katika tukio la Wakfu ya Askofu mteule wa dayosisi ya Mwanga; waziri mkuu mh...
13/07/2025

Mwakilishi wa mhe, Rais Samia Suluhu Hassan katika tukio la Wakfu ya Askofu mteule wa dayosisi ya Mwanga; waziri mkuu mhe Kassim Majaliwa Kassim Akisalimiana na Askofu wa dayosisi ya Mwanga mchg Dokta Mono! Pembeni ni mkuu wa Kanisa Askofu Dokta Alex Gehaz Malasusa akimtambulisha Askofu mpya kwa mgeni rasmi!

Matukio katika picha; Wakfu wa Askofu wa pili wa Dayosisi ya Mwanga!
13/07/2025

Matukio katika picha; Wakfu wa Askofu wa pili wa Dayosisi ya Mwanga!

13/07/2025

Askofu wa pili wa Dayosisi ya Mwanga asimikwa Leo tarehe 13/07/2025

13/07/2025

Msalaba alama ya upendo wa Bwana wetu Yesu Kristo

Maaskofu wetu katika mavazi ya kitume/ibada! Mungu awabariki sana maaskofu wetu tunawapenda!!
23/06/2025

Maaskofu wetu katika mavazi ya kitume/ibada! Mungu awabariki sana maaskofu wetu tunawapenda!!

Tuanze na wale wanaotoka kwenye dayosisi anayoongoza, Mtambulisheni huyu Mtumishi wa Mungu kwa majina na eneo lake la ut...
23/06/2025

Tuanze na wale wanaotoka kwenye dayosisi anayoongoza, Mtambulisheni huyu Mtumishi wa Mungu kwa majina na eneo lake la utume!

Address

Arusha
POSTALADDRESS: ELCTHEADOFFICE P.O.BOX3033 ARUSHA,

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evalengical Lutheran Church in Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category