Maranatha SDA Church Arusha

Maranatha SDA Church Arusha Welcome to the official page of the Maranatha sda church located in Arusha,
S.L.P 14108.

Hii siyo ya kukosa, siku ya ijumaa saa 10 kamili jioni usikubali kupitwa na mbaraka wa wimbo huu kutoka Kwa kwaya ya mar...
08/07/2024

Hii siyo ya kukosa, siku ya ijumaa saa 10 kamili jioni usikubali kupitwa na mbaraka wa wimbo huu kutoka Kwa kwaya ya maranatha sda church... Ili ubarikiwe na wimbo huu, usisahau ku subscribe na ku share na marafiki...

Hakika jina la Bwana lilitukuzwa 🙏🙏🙏
30/06/2024

Hakika jina la Bwana lilitukuzwa 🙏🙏🙏

Cake ya pongezi na kuwaaga vijana wetu na kuwatakia heri katika Masomo yao wanapo Rudi shuleni
30/06/2024

Cake ya pongezi na kuwaaga vijana wetu na kuwatakia heri katika Masomo yao wanapo Rudi shuleni

Master Guide (MG) akikabidhiwa tuzo na nishani baada ya kazi kubwa ya kufundisha vijana wetu
30/06/2024

Master Guide (MG) akikabidhiwa tuzo na nishani baada ya kazi kubwa ya kufundisha vijana wetu

Watoto wetu wakikabidhiwa nishani na tuzo mbalimbali walizo hitimu katika sabato maalumu ya program za vijana
30/06/2024

Watoto wetu wakikabidhiwa nishani na tuzo mbalimbali walizo hitimu katika sabato maalumu ya program za vijana

MG ajaye akipokea Nishani na tuzo za Pathfinders baada ya kutoka kambi la vijana
30/06/2024

MG ajaye akipokea Nishani na tuzo za Pathfinders baada ya kutoka kambi la vijana

Pathfinders and Adventures
29/06/2024

Pathfinders and Adventures

Watoto wetu wakituhudumia katika program makini katika sabato ya vijana
29/06/2024

Watoto wetu wakituhudumia katika program makini katika sabato ya vijana

Happy Sabbath
29/06/2024

Happy Sabbath

Raha iliyoje kumtumikia Mungu
29/06/2024

Raha iliyoje kumtumikia Mungu

Mbaraka wa kuwa na wapishi walio bobea katika kanisa la Mungu
29/06/2024

Mbaraka wa kuwa na wapishi walio bobea katika kanisa la Mungu

23/05/2024

Barikiwa!

Address

Arudeco
Arusha
SLP14108ARUSHA

Opening Hours

Wednesday 17:00 - 18:30
Friday 17:30 - 18:30
Saturday 08:00 - 18:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maranatha SDA Church Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share