Redemption and healing Baptist Church

Redemption and healing Baptist Church deliverance and healing people. spread gospel, disciples maker, community action

15/04/2026

Huwezi kusherehekea ukiwa utumwani.

Pasaka imepita na watu walisherehekea, katika sherehe hii kuna wahusika na wasio wahusika, ok huwezi kunielewa vizuri twende kwenye chanzo Cha pasaka, kulikiwa na watumwa walioishi Misri miaka mia nne na thelathini kwa mateso makali ndipo Mungu Jehova akawahurumia na kuwatafutia ukombozi ili wasiwe watumwa tena, kwahiyo neno pasaka ni Passover kutoka kwenye utumwa, na Mungu alifanya hivyo kuwatoa Misri, Mungu anawaaambia wale pasaka yaani sherehe ya kukombolewa,

Ni waliokombolewa tu ndio wanahusika kwenye pasaka na hii ndio maana siku ya pasaka watu wasiohusika wanalewa wanazini na kufanya kila anasa maana haimuhusu ila waliokombolewa wanasherehekea kwa kujitakasa zaid

Address

Cell Number 0757235681
Arusha

Telephone

+255689142733

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Redemption and healing Baptist Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share