FPCT Kisongo Arusha

FPCT  Kisongo Arusha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FPCT Kisongo Arusha, Religious organisation, KISONGO MJINI, Arusha.

FPCT KISONGO, Ni Kanisa la Kipentekoste lililochini ya Kanisa la mahali "FPCT kimahama Arusha Mjini"

Limefanyika Baraka Kwa Wakazi wa Arusha Kisongo, Karibu Nawe Kushiriki Baraka Hizi

24/08/2026

Sikiliza Mpaka Mwisho Kuna somo na fundusho Kubwa la kujifunza Hapa.....

24/08/2026

Wanaitwa "GLORIOUS WORSHIP AND PRAISE TEAM"

Barikiwa na Huu Wimbo

 : Ni katika Ibada ya Jumapili Hii, Ibada yenye Nguvu na mguso wa Roho Mtakatifu.....Ibada ya Leo Imekuwa ya Baraka Sana...
23/08/2026

: Ni katika Ibada ya Jumapili Hii, Ibada yenye Nguvu na mguso wa Roho Mtakatifu.....

Ibada ya Leo Imekuwa ya Baraka Sana, Kwani Roho Mtakatifu katuhudumia Kwa Neno na mafundisho yenye Nguvu Juu ya "NGUVU BAADA YA GEREZA"

Fuatilia Post zitakazofuata Uelewe kuindani..

UABUDU NASI

22/08/2026

USIMBEBE MTU MOYONI

20/08/2026

"KUTOKUSAMEHE WENGINE KUNAZUIA MAOMBI NA BARAKA ZAKO"

Ni Katika Ibaada ya Jumapili ya tarehe 16/08/2026 Hitimisho la Juma la Wanawake Fpct Kitaifa, Ambapo muhudumu wa Neno Siku Hiyo Akifundisha na Kusisitiza Umuhimu wa KUSAMEHE

KARIBU KUSIKILIZA

18/08/2026

Ni Katika Hitimisho la Juma la Wanawake Fpct Kitaifa, ambapo UMOJA WA WANAWAKE WATUMISHI (UWW) FPCT KISONGO Walihudumu Kwa Wimbo Uitwao
β€œπ‘†π‘ˆπ‘ƒπΈπ‘… π‘Šπ‘‚π‘€π΄π‘β€

πΎπ΄π‘…πΌπ΅π‘ˆ πΎπ‘ˆπ‘†πΌπΎπΌπΏπΌπ‘π΄

 : Ni Katika Ibaada ya Jumapili ya Leo, Ikiwa ni Hitimisho la Wiki ya Wanawake Kitaifa Kwa Makanisa ya FPCT......Ni Moja...
16/08/2026

: Ni Katika Ibaada ya Jumapili ya Leo, Ikiwa ni Hitimisho la Wiki ya Wanawake Kitaifa Kwa Makanisa ya FPCT......

Ni Moja ya Wiki ya kutambua Umuhimu na Thamani ya Mwanamke Kwa kanisa na kwa Jamii pia...

Hakika Wanawake wa "Fpct Kisongo Galilaya" Wametuongoza katika Ibaada uliyokuwa Nzuri mno, iliyojaa udhihirisho wa Nguvu za Roho Mtakatifu.....

KARIBU UABUDU NASI FPCT Kisongo Arusha

03/08/2026

Kwa Wema na Fadhili Amabazo Mungu Amekutendea ni Nini Cha Kumlipa kulinganisha na Wema Wake

 : NI KATIKA IBAADA YA JUMAPILI HAPO JANA, IKIWA NI HITIMISHO LA WIKI YA MAOMBI......NENO LA MSINGI: IMANI NA UKIRI (KIR...
03/08/2026

: NI KATIKA IBAADA YA JUMAPILI HAPO JANA, IKIWA NI HITIMISHO LA WIKI YA MAOMBI......

NENO LA MSINGI: IMANI NA UKIRI (KIRI IMANI YA USHINDI KWA SABABU WEWE NI MSHINDI)

πŸ‘‰πŸ‘‰ FPCT Kisongo Arusha Yona Mhoko

30/07/2026

Mwambie Mungu Maneno Hayo, Huku Ukimwabudu

Address

KISONGO MJINI
Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Kisongo Arusha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share