KKKT Usharika wa Arusha Mjini - Cathedral

KKKT Usharika wa Arusha Mjini - Cathedral KKKT Usharika wa Arusha Mjini ni ukurasa rasmi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Arusha Mjini Kanisa Kuu.

"Waabuduo halisi watamwabudu Baba katika Roho na Kweli" (Yoh.4:23)

30/07/2026

Mchungaji Paul Metili

27/07/2026

Wiki hii katika masifu ya asubuhi na Mchana tutaongozwa na Mtumishi wa Mungu Daniel Ikoja atafundisha somo : NGUVU YA MAOMBI BINAFSI” Vipindi vyote hivi vitakua Live kwenye YOUTUBE channel ya usharika Like,comment share na kwa wengine wapate baraka hizi amen

20/07/2026

Kwaya ya Uinjilisti Arusha Mjini ikishiriki kwenye mashindano ya kikanda na baadae kushika nafasi ya kwanza kwa kwaya zinazotumia vyombo moto Mungu awe pamoja nanyi kwa hatua inayofata 🙏

20/07/2026

UJENZI WA KANISA JIPYA KKKT ARUSHA MJINI CATHEDRAL
Tunamshukuru Mungu kwa hatua hii nzuri karibu na unaweza shiriki baraka hizi kwa sadaka yako nzuri
MPESA NAMBA NO: 5902366 ARUSHA MJINI CATHEDRAL
CRDB BANK 0150301090500 KKKT MAENDELEO MJINI KATI

18/07/2026

Uinjilisti Arusha Mjini wakiwa kwenye maandalizi ya kwenda kwenye uimbaji mererani 🙏, Mungu awatangulie.

IBADA YA JUMAPILI TAREHE.12.7.2026💒
12/07/2026

IBADA YA JUMAPILI TAREHE.12.7.2026💒

07/07/2026
06/07/2026

Kanisa ni Msingi kwa malezi bora

Address

Goliondoi Road P. O BOX. 569
Arusha
23100

Opening Hours

Monday 08:00 - 04:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00
Saturday 08:00 - 16:00
Sunday 06:30 - 12:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Usharika wa Arusha Mjini - Cathedral posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share