23/01/2026
Kuna uhusiano mkubwa wa KIROHO Kati ya ardhi au eneo na watu wake. Ni rahisi kuona watu wanaoishi eneo fulani kuwa na mambo yanayofanana kuanzia tabia mpaka uchumi wao. Ndio sababu ukifatilia utagundua kuwa watu wa mtaa fulani hawafanani tabia na maisha na watu wa mtaa mwingine ipo siri kwa kiroho cha eneo.
Pia pamekuwa na shuhuda mbalimbali kuwa kuna watu wamewahi kuishi mtaa fulani wakawa na maendeleo, lakini walipotoka na kwenda eneo jingine kila kitu kikaharibika. Walipohama eneo la kwanza kwenda eneo jingine ndoa zikavurugika, biashara zikaharibika kazi zao zikaharibika. Sababu sio watu kubadilika tabia bali ni roho za kigeni zinazotawala kwenye ardhi hiyo mpya. Tatizo sio Hali ya kiuchumi ya nchi kubadilika Tatizo lipo kwenye hilo eneo jipya.
Leo nakupa siri hii ni kweli ardhi imebeba roho, ili uweze kutambua ni roho gani ipo kwenye eneo hilo angalia aina ya maisha wanayo ishi watu wa eneo hilo.
Mungu ameshusha UFUNUO kwetu tutakuwa na Maombi ya siku 11 za KUIKOMBOA ARDHI ili itoe mazao yake karibu sana jumapili hii. Wewe uliyeko mbali piga simu.
Mwl Mdimi
0689 488000