Harvest Mission Church

Harvest Mission Church Harvest mission church is a healing mission, a river from which flows healing and life; the abundant life to the community around us.

Jesus Christ is moving through us to revitalize and transform the deserts and dead seas in our territory.

Aina ya marafiki wanne unatakiwa kuwa nao, ao uwe umoja wao ili ufikiye atma yako takatifu. Kumbuka uliumbwa kwa lengo. ...
01/10/2021

Aina ya marafiki wanne unatakiwa kuwa nao, ao uwe umoja wao ili ufikiye atma yako takatifu. Kumbuka uliumbwa kwa lengo.
Ili ufike kwenye malengo yako tafuta watu k**a hawa:

1. Rafiki anaye kuunga ao kuku connect.
2 Wafalme 5:1-3
Atma ya Namani ilikiwa imesha aribika sababu ya ukoma. Lakini kijakani alifanya fanya kazi za ndani ali mupa connection na ukoma wake ukapona. Usimzarau mutu yeyote labda kesho anawezakuwa connection yako.

2. Rafiki mwenye ushawishi. Influence.
Mwanzo 41:12-13
Uyu anawezo wa kukuteteya mbele za watu. Ambaye anasikilika na kuheshimiwa na watu. Usiwe na urafiki bila mikakati ao Strategic. Yusufu alisema wende lakini Unikumbuke. Alijuwa rafikiyake anaweza sema neno kwa mfamle na likasikika. Petro naye kamuuliza Bwana tumeacha vyote tuta pata nini?. (Deal) kuna deal gani katika urafikiwenu?

3. Tafuta rafiki mwenye kipawa.
1 Samueli 17:34-37
Jufunze historia ya mutu unataka kuambatana naye. Shida ikija anaweza kukusaidiya kivipi? Tafuta mutu atakae kutowa katika shida atakaye kusukuma mbele wakati unapoanza didimiya. Sio wakuku gandamiza.

4. Mutu anaye simama na wewe kwa yote.
Ruthu 1:16-17
Kuwa na rafiki atakaye beba mzigo wako k**a wake. Anaye kuchukuliya na kuambatana na wewe kimaisha na kiroho piya.
Rithu 2:11
K**a hauna warafiki k**a hawa jitahidi basi wewe uwe na hali k**ahizi tajwa sababu watu wengine watakutegemeya.

Somo: omba sana ili ujuwe mutu ambaye unatakafanya naye urafiki. Wala usimzarau mutu yeyote bali mchunguze. Angaliya faida gani utapata katika urafiki wenu.
Amen.

THIS IS OUR NEW HOME BTCM BUT WHAT MAKES DIFFERENCE ISTHE QUALITY OF OUR Teachings and our lives JOIN AND YOU WILL TEST ...
06/06/2015

THIS IS OUR NEW HOME BTCM BUT WHAT MAKES DIFFERENCE IS
THE QUALITY OF OUR Teachings and our lives
JOIN AND YOU WILL TEST IT.

15/11/2014

THEN GO TO harvestmission.webs.com

02/08/2014

kuchangia katika kazi ya Mungu ni ma pashwa ya watu wote waliookoka.

05/07/2014
21/09/2013
The newspapers in heaven are not about politics but the Head lines are all about this kind of events and decisions.
10/08/2013

The newspapers in heaven are not about politics but the Head lines are all about this kind of events and decisions.

10/08/2013

Harvest mission church is a healing mission, a river from which flows healing and life; the abundant life to the community around us. Jesus Christ is moving through us to revitalize and transform the deserts and dead seas in our territory.

Address

Lilongwe
16,DOWA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Harvest Mission Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Harvest Mission Church:

Share