28/08/2022
TUJIFUNZE KITU HAPA 🙏😩😭
💞💞Mwanamke mmoja alimwendea Mchungaji na kumwambia..."Sitaendelea kuja Kanisani..."
MCHUNGAJI akamuuliza, unaweza kuniambia kwa nini unasema hivyo?
Yule MWANAMKE akasema, "wakati wa ibada naona watu wakiwa wanatumia simu zao, wengine wakisengenya, wengine nao hawaishi ipasavyo k**a Wakristo. Wote ni wanafiki tu."
💞💞 MCHUNGAJI akakaa kimya. Kisha akamjibu yule mama, Sawa...Lakini nikuombe unifanyie jambo moja kabla hujafanya maamuzi?
MWANAMKE akaitikia, "jambo gani hilo?"
MCHUNGAJI akamwambia, "Chukua glasi ya maji na ulizunguke Kanisa mara mbili ukiwa nayo mkononi, na uhakikishe kwamba hakuna hata tone la maji linalodondoka."
💞💞MWANAMKE akasema...."hilo naliweza kabisa!"
Akazunguka Kanisa mara mbili akiwa na ile glasi ya maji na akamrudia MCHUNGAJI na kumwambia kwamba, "nimekamilisha."
💞💞Baada ya kuona vile, MCHUNGAJI akamuuliza maswali matatu:
1. Uliona mtu yeyote akiwa anatumia simu yake?
2. Uliona mtu yeyote akiwa anasengenya?
3. Je, uliweza kumwona mtu yeyote aliyekuwa anaishi visivyo?
MWANAMKE akajibu kwamba, "Sikuona chochote kwa sababu nilikuwa makini nikiitazama hii glasi ili maji yasimwagike."
💞💞 MCHUNGAJI akamwambia, "Unapokuja Kanisani, unapaswa kuwa makini na kwakumwelekea Mungu tu ili usianguke. Ndiyo maana Yesu alisema, "NIFUATENI!!" Hakusema tuwafuate Wakristo. Hivyo, usikubali mahusiano yako na Mungu yaongozwe na jinsi watu wengine wanavyohusiana naye.
💞💞MAHUSIANO YAKO NA MUNGU YANAPASWA KUONGOZWA NA NAMNA AMBAVYO WEWE MWENYEWE UNAHUSIANA NAYE."
Mungu akukumbuke na akubariki WEWE unayetumia mkono wako kuandika 'Amen' na kutuma ujumbe huu kwa groups 5 tofauti za Facebook. Usipuuze..,
Kwa Machapisho Mengine ya Kuinua nasi