Ffpk Samaria Lasit, The Door of Great Expectation

Ffpk Samaria Lasit, The Door of Great Expectation We are the world congerous

31/01/2023

ndugu juweni kuwa hizi ni siku za mwisho watu watakuwa wa kuchukia wa kwao wasaliti wenye kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu.jiepushe na mambo k**a hayo.

30/01/2023

k**a mungu hangekuwa upande wetu maadui wangetumeza tukiwa hai, hivyo ww adui wangu usifurahie niangukapo maana nitasimama tena.Mika 7;8

19/12/2022
i serve a living God.what u?
03/12/2022

i serve a living God.what u?

03/08/2022

ndugu zangu wakenya naomba tupige kura ya amani.kwani uongozi hutoka kwa mungu waebrania 13:1-4,pia juwakuwa mandalioya moyo ni kwa mwanadamu jawabu ni kwa kinywa cha mungu proverbs 16:2

06/07/2022

hallelujah.my people.am welcoming you to agreat revival, door to door ,seminar, and open air services.starting today date 6th-10th july 2022.come expect something good from God.

04/05/2022

Bwana Yesu Asifiwe Sana..? Napenda Kuwa Karibisha Katika Ibada Maalum Ya Uponyaji Katika Kanisa La F.pfk Samaria Kikelelwa Olepolos Njoo Na wenye Mahitaji Mbali mbali...
1Samweli 7:5 Samweli Akasema Nikusanyieni Israeli wote Mispa nami Nitawaombea ninyi Kwa Bwana..!!
Mungu Akubariki Sana..!

20/04/2022

usifadhaike moyoni mwako mwaminini mungu na mimi pia.who said this words?john 14:1

Address

Loitoktok/Lasit
Westlands
KAJIADOSOUTH

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ffpk Samaria Lasit, The Door of Great Expectation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Ffpk Samaria Lasit, The Door of Great Expectation:

Share