YESU

YESU Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from YESU, Church of Jesus Christ of Latter-day Saints, Chimoi, Webuye.

🧟‍♂️Lakini sa mbona shetani awachome na hua mnafanya vitu ye anataka🙄💀😹Kijana ya Mary ni luku tuh akingoja kuzaliwa dec🤣
04/10/2025

🧟‍♂️Lakini sa mbona shetani awachome na hua mnafanya vitu ye anataka🙄💀😹

Kijana ya Mary ni luku tuh akingoja kuzaliwa dec🤣

Njooni wote mliolemewa na mizigo yenu..Nanyi mtarudi nayo,,mbona tubebe yenu?😆😂
04/10/2025

Njooni wote mliolemewa na mizigo yenu..Nanyi mtarudi nayo,,mbona tubebe yenu?😆😂

04/10/2025

Mnanyonga mkiangukia vyombo na mnataka ni jibu maombi yenu 😝😝 very nais

04/10/2025

Na muache kunishautia kwa maombi Mimi si rika yenu😝

wacha nifichue hii...Mii personally nmelose hope ya kuenda church,the church gives hope but our churches nowadays lack m...
04/10/2025

wacha nifichue hii...

Mii personally nmelose hope ya kuenda church,the church gives hope but our churches nowadays lack morals,Pastor unapata anakula chairlady,Deacon nae ananyemelea bibi yako,Bibi ya pastor amekula pesa ya wamama ya savings,Mzee wa kanisa nikalewa na yeye ndio anambia watu vile drugs ni mbaya... Tribalism in our churches 🚮,Mapendeleo where by k**a hauna pesa there are some seats huwezi kaa especially za uko mbelee....

Most youths kwa church wanakuwa pregnant in their 19s and 20s yet their parents ndio wako na cheo kwa church.. ungui Mutheri🚮🚮

Nani huyu anaomba asipate mimba😳 waaah, ni mwenye tumepea twins😆😹
04/10/2025

Nani huyu anaomba asipate mimba😳 waaah, ni mwenye tumepea twins😆😹

Hii baridi ndo ilifanya nitembee juu ya maji😆😂 Yaani sikupenda kuoga🙈😹
04/10/2025

Hii baridi ndo ilifanya nitembee juu ya maji😆😂 Yaani sikupenda kuoga🙈😹

Siulikua unaambiwa 'Your storage is full unadelete Bible App'?😂.. Hata sisi hatuna nafasi yako😆😹
04/10/2025

Siulikua unaambiwa 'Your storage is full unadelete Bible App'?😂.. Hata sisi hatuna nafasi yako😆😹

Piga magoti💀😠 Kwanini ulikua unawauzia na mimi nlikupea bure?😆😹
04/10/2025

Piga magoti💀😠 Kwanini ulikua unawauzia na mimi nlikupea bure?😆😹

03/10/2025

Na wenye mnataka kwenda Canaan mkuje m-sign release forms kabla sijachange mind

Yesu + Mkisii = Usherati 😅 Kenyans mlisemaga nitafute ata kamkisii nid****nye🥵😂 haya basi Leo lazma kieleweke😋💀😹
03/10/2025

Yesu + Mkisii = Usherati 😅 Kenyans mlisemaga nitafute ata kamkisii nid****nye🥵😂 haya basi Leo lazma kieleweke😋💀😹

Shosh yangu amwagotea🥰 mmengoteka👀😂 Afu Shetani Amesema wakenya mjitafutie shetani wenuh🤣,, ati yeye amechoka na nyinyi ...
03/10/2025

Shosh yangu amwagotea🥰 mmengoteka👀😂 Afu Shetani Amesema wakenya mjitafutie shetani wenuh🤣,, ati yeye amechoka na nyinyi 😂🫴

Address

Chimoi
Webuye

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YESU posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share