09/08/2026
IBADA YA JUMAPILI LEO!!!
Tunashukuru Mungu kwa kila fursa ya kujumuika pamoja Uweponi mwake!
Tulijifunza jinsi Mungu anavyobadilisha watu wa kawaida kuwa watu maajabu!!!
Hata wewe Mungu anaweza kubadilisha na kukufanya upya!!!
Jiunge nasi Jumapili ijayo.