14/03/2025
57. Mwezi wa Kwanza wa Miezi yote; Mwezi wa Abibu
Somo la Sabato 15/3/2025, (15th Adar, 5785)
Somo la Maandiko: Kumbukumbu la Torati 16:1-8
Mstari wa Kukariri: Kumbukumbu la Torati 16:1
Soma Kutoka 12:1-2
1. Mwezi wa kwanza wa miezi yote ya kalenda ya Biblia ni upi?
Kutoka 12:1-2, 13:3-4, Esta 3:7
2. Ni sikukuu gani Mwenyezi Yahweh aliamuru kuadhimishwa katika mwezi wa Abibu? Kutoka 23:15
3. Je, ukumbusho wa Pasaka uliunganishwa na sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu tangu mwanzo? Kutoka 12:11-20
4. Ni kwa njia gani Masihi anastahili kuwa Pasaka Wetu k**a katika
1 Wakorintho 5:7
a. Alifanyika mwanakondoo wa ukombozi Yohana 1:29,36
b. Alikufa tarehe na wakati kondoo waPasaka alikua akichinjwa. Yohana 18:28, 19:14
c. Alikufa na kufufuka baada ya siku tatu mchana na usiku Mt: 12:40
d. Alipokelewa k**a limbuko la kwanza kutoka kwa wafu Mambo ya Walawi 23:10-11, Yohana 20:16-19, 1 Wakorintho 15:20-23
5. Je, Mtume Shauli alifundisha kuhusu kuadhimisha sikukuu kwa makutaniko? 1 Wakorintho 5:7-8, 10:14-16, 11:23-27, Matendo 20:6.
Hitimisho
1 Wakoritho 5:7-8