PAG Ngerek Assembly

PAG Ngerek Assembly This page is for gospel of Jesus

wote  mnakaribishwa
22/10/2025

wote mnakaribishwa

06/03/2025

Big shout out to my newest top fans! Emiey Mmoja, Getrude Alividza God bless you all 🙏

Kwa niaba ya Ngerek PAG assembly we say makiwa kwa familia ya  kuhani wetu Rev Kelvin Shanga ! Mamake mzazi ametangulia ...
08/02/2025

Kwa niaba ya Ngerek PAG assembly we say makiwa kwa familia ya kuhani wetu Rev Kelvin Shanga ! Mamake mzazi ametangulia mbele za haki. Mungu wa Mbinguni amtangulie mama yetu kipenzi kwa amani tukiwa na tumaini katika Kristo kwamba siku moja tutamlaki Yesu pamoja mawinguni! Mum lala Salama kipenzi!😰😭

Hatuna jina lingine la matengenezo Yetu ili tukawa Salama isipokuwa Jina la Yesu Kristo! Katika hili jina Kila Goti lita...
06/10/2024

Hatuna jina lingine la matengenezo Yetu ili tukawa Salama isipokuwa Jina la Yesu Kristo! Katika hili jina Kila Goti litapigwa! Unahitaji Yesu ili uasaidike💪

Wakili wa Siri za Mungu God bless you 💪
01/10/2024

Wakili wa Siri za Mungu God bless you 💪

02/09/2024

Bwana asifiwe sana! Huu mwezi uwe baraka kwako kwa jina la Yesu💪

07/06/2024

Amini hakuna linalomshinda Mungu! Jifunze kusamehe Ili mungu apate nafasi kwa moyo wako!

This is the week of revival, umefungwa ,umekalaaniwa, umeibiwa,sasa ni saa ya kusema IMETOSHA MIMI NI KIUMBE KIPYA KATIK...
06/05/2024

This is the week of revival, umefungwa ,umekalaaniwa, umeibiwa,sasa ni saa ya kusema IMETOSHA MIMI NI KIUMBE KIPYA KATIKA KRISTO! Welcome all TO THE EMPASSY OF NGEREK PAG ! UPATE DAWA UPONE! KRISTO NI JIBU! Hii wiki ni yako

01/04/2024

Ushindi upo kwa Kristo💪

Kwa Yesu kuna raha jamani! JESUS DID!
01/04/2024

Kwa Yesu kuna raha jamani! JESUS DID!

Yesu Kristo ni mfariji wa kweli!
04/02/2024

Yesu Kristo ni mfariji wa kweli!

Address

Ngerek
Nandi
70,SIRWA

Telephone

+254746044705

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PAG Ngerek Assembly posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share