Bishop Samwel Ministries

Bishop Samwel Ministries Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bishop Samwel Ministries, 0702672055-20100, Nakuru.

06/01/2026
28/04/2024

Matendo ya Mitume 8 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Siku ile kukatukia adha kuu ya kanisa lililokuwa katika Yerusalemu; wote wakatawanyika katika nchi ya Uyahudi na Samaria, isipokuwa hao mitume.
² Watu watauwa wakamzika Stefano, wakamfanyia maombolezo makuu.
³ Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani.
⁴ Lakini wale waliotawanyika wakaenda huko na huko wakilihubiri neno.
⁵ Filipo akatelemka akaingia mji wa Samaria, akawahubiri Kristo.
⁶ Na makutano kwa nia moja wakasikiliza maneno yale yaliyosemwa na Filipo walipoyasikia na kuziona ishara alizokuwa akizifanya.

27/04/2024

Danieli 10 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
² Katika siku zile mimi, Danielii, nalikuwa nikiomboleza muda wa majuma matatu kamili.
³ Sikula chakula kitamu, wala nyama wala divai haikuingia kinywani mwangu, wala sikujipaka mafuta kabisa, hata majuma matatu kamili yalipotimia.
⁴ Na siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kwanza, nilipokuwa kando ya ule mto mkubwa, Hidekeli;

Danieli 12 (Biblia Takatifu)¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹² Heri angojaye, na kuzifikilia siku hizo elfu na mia tatu na thelathini na tano....
27/04/2024

Danieli 12 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹² Heri angojaye, na kuzifikilia siku hizo elfu na mia tatu na thelathini na tano.
¹³ Lakini enenda zako hata utakapokuwa mwisho ule; maana wewe utastarehe, nawe utasimama katika kura yako mwisho wa siku hizo.

Danieli 12 (Biblia Takatifu)¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹ Wakati huo Mikaeli atasimama, jemadari mkuu, asimamaye upande wa wana wa watu w...
27/04/2024

Danieli 12 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Wakati huo Mikaeli atasimama, jemadari mkuu, asimamaye upande wa wana wa watu wako; na kutakuwa na wakati wa taabu, mfano wake haukuwapo tangu lilipoanza kuwapo taifa hata wakati uo huo; na wakati huo watu wako wataokolewa; kila mmoja atakayeonekana ameandikwa katika kitabu kile.
² Tena, wengi wa hao walalao katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele.

2 Mambo ya Nyakati 7 (Biblia Takatifu)¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹ Basi Sulemani alipokwisha maombi hayo, moto ukashuka kutoka mbinguni,...
12/04/2024

2 Mambo ya Nyakati 7 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Basi Sulemani alipokwisha maombi hayo, moto ukashuka kutoka mbinguni, ukateketeza sadaka ya kuteketezwa na dhabihu; utukufu wa Bwana ukaijaza nyumba.
² Wala makuhani hawakuweza kuingia nyumbani mwa Bwana, kwa kuwa utukufu wa Bwana umeijaza nyumba ya Bwana.
³ Wakatazama wana wa Israeli wote, uliposhuka ule moto, utukufu wa Bwana ulipokuwapo juu ya nyumba; wakasujudu kifulifuli hata nchi sakafuni, wakaabudu, wakamshukuru Bwana, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele.

Zaburi 28 (Biblia Takatifu)¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹ Ee Bwana, nitakuita Wewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu k**a kiziwi. Nisije nikafan...
10/04/2024

Zaburi 28 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Ee Bwana, nitakuita Wewe, mwamba wangu, Usiwe kwangu k**a kiziwi. Nisije nikafanana nao washukao shimoni, Ikiwa umeninyamalia.
² Uisikie sauti ya dua yangu nikuombapo, Nikipainulia patakatifu pako mikono yangu.
³ Usinikokote pamoja na wasio haki, Wala pamoja na watenda maovu. Wawaambiao jirani zao maneno ya amani, Lakini mioyoni mwao mna madhara.

Zaburi 21 (Biblia Takatifu)¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯¹¹ Madhali walinuia kukutenda mabaya, Waliwaza hila wasipate kuitimiza.¹² Kwa maana...
10/04/2024

Zaburi 21 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹¹ Madhali walinuia kukutenda mabaya, Waliwaza hila wasipate kuitimiza.
¹² Kwa maana utawafanya kukupa kisogo, Kwa upote wa uta wako ukiwaelekezea mishale.
¹³ Ee Bwana, utukuzwe kwa nguvu zako, Nasi tutaimba na kuuhimidi uweza wako.

Address

0702672055-20100
Nakuru

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bishop Samwel Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share