11/08/2026
🌍Tunajivunia utajiri wa utamaduni wetu kupitia mavazi ya Kiafrika yenye mitindo, rangi na ubunifu wa aina mbalimbali. Ni nafasi ya kuenzi utamaduni wetu, kuthamini asili yetu na kuonyesha uzuri wa Kiafrika kwa kizazi cha sasa na kijacho❤️
❤️Tunaendelea kusonga mbele kwa imani, tukiamini kwamba kila eneo ni fursa ya kumtangaza Kristo, kila kipawa ni chombo cha huduma, na kila hatua ni nafasi ya kueneza Injili. 🙌🏾
Chapisho za mitandao yetu:
Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?id=61582512187037
Tiktok: https://www.tiktok.com/
Youtube: https://www.youtube.com/