16/07/2025
1 John 1:5-7
[5]This then is the message which we have heard of him, and declare unto you, that God is light, and in him is no darkness at all.
Na hii ndiyo habari tuliyoisikia kwake, na kuihubiri kwenu, ya kwamba Mungu ni nuru, wala giza lo lote hamna ndani yake.
[6]If we say that we have fellowship with him, and walk in darkness, we lie, and do not the truth:
Tukisema ya kwamba twashirikiana naye, tena tukienenda gizani, twasema uongo, wala hatuifanyi iliyo kweli;
[7]But if we walk in the light, as he is in the light, we have fellowship one with another, and the blood of Jesus Christ his Son cleanseth us from all sin.
bali tukienenda nuruni, k**a yeye alivyo katika nuru, twashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote.