Radio Maria Kenya- Nairobi

Radio Maria Kenya- Nairobi Radio Maria Kenya-Nairobi is a Catholic Radio station based in the Archdiocese of Nairobi.

It broadcasts on 107.3 FM and 107.0FM Kericho, offering a variety of Christian programming, including music, news, and religious content.

kwenye Makala ya:MUULIZE PADRE. kila Alhamisi saa 9:00-10:00 usiku, tunakupatia nafasi ya kuzungumza na kusikilizwa Hewa...
20/08/2026

kwenye Makala ya:

MUULIZE PADRE.
kila Alhamisi saa 9:00-10:00 usiku, tunakupatia nafasi ya kuzungumza na kusikilizwa Hewani. Je, swali lako hii leo ambalo ungependa Padre aliangazie ni lipi? Ni sehemu gani ya Imani ya Kanisa Katoliki ambayo inakupatia changamoto kuelewa?

www.radiomaria.co.ke

20/08/2026

Karibu kwenye Sala ya Rozari Takatifu. Tunayatafakari Matendo ya Mwanga.
Karibu tubarikiwe!

www.radiomaria.co.ke

Mahujaji wa matumaini karibu tusali Rozari Takatifu pamoja na wanajumuiya wa Mt.Dominici parokia ya Mt.Yusufu Kahawa Suk...
20/08/2026

Mahujaji wa matumaini karibu tusali Rozari Takatifu pamoja na wanajumuiya wa Mt.Dominici parokia ya Mt.Yusufu Kahawa Sukari 7:30pm.

Tuombee wagonjwa wote.

Sala yako ni ipi?
Sms 23405 or whatsapp 0796 485132

ALHAMISI: 20-8-2026√Mapema leo, Kituo cha Radio Maria Kenya -Nairobi kilikusanyika kwenye Ibada ya Misa Takatifu iliyoon...
20/08/2026

ALHAMISI: 20-8-2026

√Mapema leo, Kituo cha Radio Maria Kenya -Nairobi kilikusanyika kwenye Ibada ya Misa Takatifu iliyoongozwa naye Padre Kelvin Okeyo- Mkurugenzi wa Radio Maria Kenya -Nairobi. Misa ambayo ilimshirikisha msikilizaji vilevile.

Kwenye homilia yake, Padre Kelvin alizungumzia kuhusu njia tofauti ambazo Mwenyezi Mungu yuatumia ili kuweza kutuvutia watumishi wake, na hivo, akaeleza umuhimu wa kuwa wangaalifu Wa kung'amua njia hizi katika Maisha yetu ya kila siku.
www.radiomaria.co.ke

✓Behold the Lamb of God, behold Him who takes away the sins of the world. Blessed are those called to the supper of the ...
20/08/2026

✓Behold the Lamb of God, behold Him who takes away the sins of the world.
Blessed are those called to the supper of the Lamb...🤲

www.radiomaria.co.ke

√ Kenyan Lucy Afandi Esipila has been appointed by Pope Leo XIV as a consultant to the Vatican’s Dicastery for Promoting...
20/08/2026

√ Kenyan Lucy Afandi Esipila has been appointed by Pope Leo XIV as a consultant to the Vatican’s Dicastery for Promoting Integral Human Development.
The appointment places Esipila in an important role within the Vatican department responsible for advancing human development, social justice and humanitarian concerns.
Her appointment is a proud moment for Kenya and a recognition of her contribution and expertise on the international stage.
Congratulations to Lucy Afandi Esipila on this significant appointment.
www.radiomaria.co.ke

Alhamisi: 20-8-2026Hewani ni Mafunzo ya Moyo Mtakatifu wa Yesu. Saa 2:00-3:00 Mchana. Anayetuongoza kwenye mafunzo haya ...
20/08/2026

Alhamisi: 20-8-2026

Hewani ni Mafunzo ya Moyo Mtakatifu wa Yesu. Saa 2:00-3:00 Mchana. Anayetuongoza kwenye mafunzo haya ni Catherine pamoja na Markarious Mwangi.

Moyo Mtakatifu wa Yesu, Utuombee🤲 Unatusikiliza ukiwa sehemu gani?
www.radiomaria.co.ke

20/08/2026

Kipindi Hewani ni cha Moyo Mtakatifu wa Yesu, tukiangazia kuhusu Mtakatifu John Eudes, Maisha na utume wake.

www.radiomaria.co.ke

Address

Race Course Street
Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Radio Maria Kenya- Nairobi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share