12/09/2026
Kijana akimuombea rafiki yake troli ya mayai ili aweze kujitegemea na kukuza biashara yake. Huu ndio upendo wa dhati—kuinua mwenzako bila wivu, na kufurahia kuona rafiki yako akipiga hatua. ❤️🙏🏾
Hon Victor Kanyari Mwangi For Kasarani Constituency Mp 2027.