Amino Maranatha Church

Amino Maranatha Church Maranatha faith assembly is a Christian Church found in Kenya,Africa and the world at large

08/11/2025
01/05/2025

it's barely a year since we had a live broadcast please catch our service live this coming Sunday be blessed!

Welcome everyone
11/05/2024

Welcome everyone

God of all grace, your moves are unpredictable who knew that the day today would be like this congratulations Rev Daniel...
27/04/2024

God of all grace, your moves are unpredictable who knew that the day today would be like this congratulations Rev Daniel Agure for your new role as General oversee Maranatha kenya

17/03/2024

This was powerful the climax of worship

Welcome to our Sunday main service
10/03/2024

Welcome to our Sunday main service

Congratulations Rev Dan agure for  your election as General overseaMaranatha kenya may God see you through this journey ...
03/02/2024

Congratulations Rev Dan agure for your election as General overseaMaranatha kenya may God see you through this journey it's hard but God will guide you

11/02/2023

FAIDA ZA KUOMBA USIKU WA MANANE.

Kwanini tunaomba usiku?
TUMIA LINK HII KUJIUNGA NA GROUP LA WHATSUP
https://chat.whatsapp.com/BXf2RgW4DFHIS3UX1mwStt
https://chat.whatsapp.com/BXf2RgW4DFHIS3UX1mwStt
https://chat.whatsapp.com/BXf2RgW4DFHIS3UX1mwStt
1.roho ya mtu inakuwa dhaifu wakati anapo lala na adui analitambua hilo,ndio maana ana utumia huo muda ili kuleta mashambulizi.

2.Ni muda mzuri wa kumuabudu Mungu,wakati ambao mwili unahitaji kulala lakini wewe unaomba,huko ni kujitoa kwa hali ya juu mbele za Mungu.
Daudi alikuwa akiutumia muda wa usiku kwa ajiri ya kumsifu Mungu.

3.Wengi wanaamini ya kwamba usiku si muda wa kufanya kazi bali ni muda wa kupumzika,Mungu huleta baraka kwa watu wake wakati wa usiku na kuwaangamiza adui zake wakati huo (Yohana 9:3-5),adui anafahamu huu muda hivyo anautumia kufanya mashambulizi.

4.Ruthu alipata mwenzi wa maisha yake wakati wa usiku (nguvu za giza hufanya kazi wakati wa usiku ili kuzuia watu wasipokeee.)

5.Unapo omba usiku unatawanyisha vikao vya giza ambavyo vilitakiwa kukaa na kujadili hatma ya maisha yako.

6.Mchungaji hukaa macho wakati wa usiku akilinda kondoo zake,Yesu ni mchungaji wetu usiku hukaa macho kwa ajiri ya kutulinda (luka 2:8)

7.Kuomba usiku ni mbinu moja wapo ambayo itakufanya uweze kushinda vita vya kiroho.

8.Unapo lala adui anakuja kuchukua baraka zako,kumbuka Yesu aliwafundisha wanafunzi wake ya kwamba adui hupanda magugu wakati wa usiku watu wakiwa wamelala.

9.Ni wakati ambao milango ya baraka inakuwa imefunguka kwa ajiri yako,na baadae hufungwa k**a ilivyo tokea kwa wale wana wali,lakini pia ni muda wa kuk**ata malango ya adui.

10.Kuabudu wakati wa usiku humfanya mtu afunguliwe kwenye vifungo na magereza aliyo kuwepo hii ilitokea kwa paulo na sila.

11.Usiku wa manane ni usiku ambao ni usiku ambao unapaswa kuutumia kwa ajiri ya kutafakari neno la Mungu.

Anza leo kuomba maombi ya usiku kuna mambo yatatokea kwako.
+255715940707 (whatsup)

Address

Migori Muhuru Highway
Migori

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amino Maranatha Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share