Sts. Peter and Paul Ntimaru Parish - Homabay Diocese

Sts. Peter and Paul Ntimaru Parish - Homabay Diocese Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sts. Peter and Paul Ntimaru Parish - Homabay Diocese, Religious organisation, P. O. BOX 12 NTIMARU, Migori.

21/07/2025

Announcement!!
Kesho 22/07/2025 kuanzia saa mbili asubuhi,ofosi ya civil registration kuria(births and deaths)from Kehancha watakuwa Ntimaru kwa DCC ofisi kusajili vyeti vya kuzaliwa na vifo kwa watu wa Ntimaru sub County.
Mahitaji:
1. Id ya wazazi na photocopy.
2. Sh. 500 ya registration of birth and death
3. Late registration forms kujazwa kwa wale hawana birth notifications.
Please tangazia watu wetu wafike kwa wingi,tumeletewa huduma karibu hiyo siku.

05/01/2025

Karibu katika Upadrisho wa Shemasi Augustine Sinda kutoka Kehancha Parish. Trh 10/1/2025 . 10:00am.

Never allow someone to discourage you dear. You have the potential. Do it!
06/10/2024

Never allow someone to discourage you dear. You have the potential. Do it!

06/09/2024

Wapendwa, ni nani aliyekuwa padri wa kwanza katika parokia yetu ya sts. Peter and Paul Ntimaru Parish ?

Wacha tuone k**a tunakumbuka.. 😀

04/09/2024

Tumsifu Yesu Kristu 👋

♦️ Je wewe ni wa kigango kipi ?

Everything is possible dear. It needs prayer, Patience and determination.
03/09/2024

Everything is possible dear. It needs prayer, Patience and determination.

Tunawatakia pasaka Njema !
31/03/2024

Tunawatakia pasaka Njema !

Pray for me as I celebrate this day !
11/12/2023

Pray for me as I celebrate this day !

Happy Valentine's day 💖
14/02/2023

Happy Valentine's day 💖

Happy feast
29/06/2022

Happy feast

Tunawatakia wakristu wetu wapendwa na marafiki,Jumapili njema ya Utatu Mtakatifu 🙏
12/06/2022

Tunawatakia wakristu wetu wapendwa na marafiki,
Jumapili njema ya Utatu Mtakatifu 🙏

Wakristu wetu wapendwa na marafiki, tunawatakia sikukuu njema ya Pentekoste 🕊️ Naye Roho awajaze na matunda yake Mzidi k...
04/06/2022

Wakristu wetu wapendwa na marafiki, tunawatakia sikukuu njema ya Pentekoste 🕊️ Naye Roho awajaze na matunda yake Mzidi kufanikiwa na kuwa Imara katika Imani. Mungu awabariki : Kwa Jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu 🙏

Address

P. O. BOX 12 NTIMARU
Migori

Telephone

0716194213

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sts. Peter and Paul Ntimaru Parish - Homabay Diocese posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share