08/02/2026
SERVING THE COVENANT KEEPING GOD.
Exodus 2:24-25
[24]Mungu akasikia kuugua kwao, Mungu akakumbuka agano lake alilolifanya na Ibrahimu na Isaka na Yakobo.
[25]Mungu akawaona wana wa Israeli, na Mungu akawaangalia.
MAY GOD ANSWER ALL YOUR PRAYERS AND GIVE YOU A TESTIMONY IN JESUS NAME.