Ev Ezekiel Odero

Ev Ezekiel Odero Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ev Ezekiel Odero, Christian church, Mombasa, Malindi.

@ Evangelist Ezekiel Odero I spread word of God to Christian who give there hearts and faith to God ,,welcome all to my true christian church Malindi ,,save yourself to

Wenye wivu na chuki sasa wanaenda kukutafuta kwa msaada maana Mwezi HUU wewe utakuwa MTU WA MAANA KATIKA JAMII Yako Andi...
05/05/2026

Wenye wivu na chuki sasa wanaenda kukutafuta kwa msaada maana Mwezi HUU wewe utakuwa MTU WA MAANA KATIKA JAMII Yako Andika tu Amina inatosha

kwanzia Kesho Tarehe  06/05/2026 Wednesday Ndio mwisho wa uchungu wako Mungu abariki kazi ya huyu anayeandika Amina
05/05/2026

kwanzia Kesho Tarehe 06/05/2026 Wednesday Ndio mwisho wa uchungu wako Mungu abariki kazi ya huyu anayeandika Amina

Yeyote aliye na nyota Yako aregeshe kabla ya kesho JumatanoPopote ulipo Andika tu Amina
05/05/2026

Yeyote aliye na nyota Yako aregeshe kabla ya kesho Jumatano
Popote ulipo Andika tu Amina

Asubuhi ya leo Jumanne 05/05/2026 nakuombea wewe unayesumbuliwa katika ndoa Yako MUNGU ANAENDA KUKUFUTA MACHOZI Yako na ...
05/05/2026

Asubuhi ya leo Jumanne 05/05/2026 nakuombea wewe unayesumbuliwa katika ndoa Yako MUNGU ANAENDA KUKUFUTA MACHOZI Yako na ndoa Yako itasima imara tena in Jesus name POKEA

Usiku wa leo nakuombea wewe unayesumbuliwa katika ndoa Yako MUNGU ANAENDA KUKUFUTA MACHOZI Yako na ndoa Yako itasima ima...
04/05/2026

Usiku wa leo nakuombea wewe unayesumbuliwa katika ndoa Yako MUNGU ANAENDA KUKUFUTA MACHOZI Yako na ndoa Yako itasima imara tena in Jesus name POKEA

Yeyote aliye na nyota Yako aregeshe kabla ya kesho Asubuhi Jumanne Popote ulipo Andika tu Amina
04/05/2026

Yeyote aliye na nyota Yako aregeshe kabla ya kesho Asubuhi Jumanne
Popote ulipo Andika tu Amina

Naomba MUNGU aibadilishe Yale yalipangwa kinyume mafanikio Yako.Chochote kilikufa NDANI Yako kifufuke jioni ya Leo in Je...
04/05/2026

Naomba MUNGU aibadilishe Yale yalipangwa kinyume mafanikio Yako.
Chochote kilikufa NDANI Yako kifufuke jioni ya Leo in Jesus name Andika Tu Amina ๐Ÿ™๐Ÿ™

DAKIKA MOJA TU IMETOSHA hata k**a umechoka.Tuma ujumbe wa  kile UNAHITAJI MUNGU akutendee Mwezi HUU WA TANO NIOMBE NA WE...
04/05/2026

DAKIKA MOJA TU IMETOSHA hata k**a umechoka.Tuma ujumbe wa kile UNAHITAJI MUNGU akutendee Mwezi HUU WA TANO NIOMBE NA WEWE

Kufuli ๐Ÿ”“๐Ÿ”“ itakayozuia upenyo wa maendeleo yako  ivunjike kabla ya saa Moja jioni katika Jina la Yesu Mkombozi wetu๐Ÿ˜ญAndik...
04/05/2026

Kufuli ๐Ÿ”“๐Ÿ”“ itakayozuia upenyo wa maendeleo yako ivunjike kabla ya saa Moja jioni katika Jina la Yesu Mkombozi wetu
๐Ÿ˜ญAndika Tu amina kwa imani

Monday ya Leo wiki ya kwanza Mwezi HUU WA TANO...Mungu baba Nakuomba Jibu Maombi ya Huyu Anayeenda Kuandika โ€œAmina โ€œ๐Ÿ™๐Ÿ™โ€ฆ....
04/05/2026

Monday ya Leo wiki ya kwanza Mwezi HUU WA TANO...Mungu baba Nakuomba Jibu Maombi ya Huyu Anayeenda Kuandika โ€œAmina โ€œ๐Ÿ™๐Ÿ™โ€ฆ.. Mpanguze Machozi ya pesa๐Ÿ™๐Ÿ™

๐Ÿ›‘Umaskini, Magonjwa Na Mateso Sio Sehemu Ya Maisha Yako. Mimi na wewe tuko katika orodha  ya wale Mungu anabariki Mwezi ...
04/05/2026

๐Ÿ›‘Umaskini, Magonjwa Na Mateso Sio Sehemu Ya Maisha Yako. Mimi na wewe tuko katika orodha ya wale Mungu anabariki Mwezi HUU WA TANO

Asubuhi ya leo jumatatu tarehe 04/05/20226 Kufuli ๐Ÿ”“๐Ÿ”“ itakayozuia upenyo wa KAZI na Pesa zako  ivunjike   katika Jina la ...
04/05/2026

Asubuhi ya leo jumatatu tarehe 04/05/20226 Kufuli ๐Ÿ”“๐Ÿ”“ itakayozuia upenyo wa KAZI na Pesa zako ivunjike katika Jina la Yesu Mkombozi wetu Andika Tu amina inatosha

Address

Mombasa
Malindi
1123

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev Ezekiel Odero posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share