04/04/2026
Shalom wapendwa,
Mnakaribishwa nyote kwenye Revival (mkutano wa uamsho) kesho kuanzia saa 2pm–5pm jioni katika Kanisa la HEMA – Mokowe Church, ambalo linapatikana karibu na Kenya Medical Training College ( KMTC) Mokowe Campus, Lamu.
Karibuni tushirikiane katika maombi, neno la Mungu, na kuhuishwa kiroho.
Mlete rafiki au jirani. Karibu sana!
Shalom. 🙏
HalleluYah!
Stephen Otieno Lamu Hema Church