Redeemed Gospel Church - Tumaini City

Redeemed Gospel Church - Tumaini City This is a christian organization based on the true christian teachings and foundation.

20/08/2026

Big shout out to my newest top fans! Kim Felix

09/08/2026
29/07/2026

ZABURI 125:1-5

1 Wamtumainio BWANA ni k**a mlima Sayuni, Ambao hautatikisika, wakaa milele.
2 K**a milima inavyouzunguka Yerusalemu, Ndivyo BWANA anavyowazunguka watu wake, Tangu sasa na hata milele.
3 Kwa maana fimbo ya udhalimu Haitakaa juu ya fungu la wenye haki; Wenye haki wasije wakainyosha Mikono yao kwenye upotovu.
4 Ee BWANA, uwatendee mema walio wema, Nao walio wanyofu wa moyo.
5 Bali wao wanaozigeukia njia zao zilizopotoka, BWANA atawaondoa pamoja na watenda maovu. Amani ikae na Israeli.

Address

KITALE
Kitale

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Redeemed Gospel Church - Tumaini City posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share