Evangelist Ezekiel matende prayer line

Evangelist Ezekiel matende prayer line Prayer from Ezekiel matende is free

dear Teresa I want to tell you that I love you so much and I promise to marry you this year everything is in control be ...
17/03/2025

dear Teresa I want to tell you that I love you so much and I promise to marry you this year everything is in control be patient with me.

Kuna watu ndio umeitwa na mungu kutumikia watu. Vizuri sana pia uko na sifa nzuri TU. Lakini mbona uivae Ile roho ya sau...
25/11/2023

Kuna watu ndio umeitwa na mungu kutumikia watu. Vizuri sana pia uko na sifa nzuri TU. Lakini mbona uivae Ile roho ya sauli mbona utumie uwezo wa kipawa chako kuwaudhi na kusumbua na kukera watu. Kuna milima ndio mbona safari zako za milima hazina amani na watu.unaficha tugoma tudogo Kwa bagi candle kansu kazi yako unaenda kufunga na kuua kufukuza kazi za watu. Kumaliza ndoa za watu. Kuvunja watu miguu mikono.sasa wewe ni pastor kweli. Wewe nahawa wayahudi tofauti Nini. Hata wengini mtoto wako wakumuzaa Bado unamkemea unamumaliza kimaisha unafunga ndoa yke.unakemea mapato yke na kadrama we umeishi TU kwa milima ndoa ya kijana riswa mapato ya kijana riswa, bibi yakijana afungishe nguo aende .mafanikio Yao riswa, Yani unachukuwa hasira Yako unaitumia kuwangamiza maisha ya watu. Hadi mate ya laana unatema Kwa majina yao.mimi evangelist Ezekiel nimekataa kabisa mupingwe na radi milimani munaenda.maombi nikujenga watu, maombi nikubariki watu kuombea watu baraka kuponya watu sio kuua na kumaliza. Hadi siku hizi maiti mnabeba Kwa basi kubwa kubwa wamekufa Kwa kukemewa milimani. Kupitia nguvu za yesu heri aridhi iwamezee huko milimani munaenda na tuvitindi na tungoma twa mbuzi. Nyinyi wakora hamutaona mbingu kabisa.

Things are not going well My friends on ground things are tuff. Even preaching can feed.mybe I do something else.
25/10/2023

Things are not going well My friends on ground things are tuff. Even preaching can feed.mybe I do something else.

Usiku ndana inalia kweli ni wapi mwivo unakosea Mimi sioni k**a minyoo ndio inauma mtoto hapana ooh apewe maji ya chumbi...
26/07/2023

Usiku ndana inalia kweli ni wapi mwivo unakosea Mimi sioni k**a minyoo ndio inauma mtoto hapana ooh apewe maji ya chumbi hapana.huyu mtoto hanyonyi akishiba hebu tumpe uji ya famila alafu mvalishe daipa kisha umunapu viziru ongezea duve alafu pombeleza alale wau ndana yetu imelala Leo jaribu mama au dada pia wewe hautashinda umekesha usiku kucha umelea mtoto mtalala wote vizurii hta kma katalia but sio sana

Dada mbona nyumba yko ugovyi haishi kila saa mzee wako hana furaha na wewe ukipika hakuli anashinda ameona tivi usiku ku...
26/07/2023

Dada mbona nyumba yko ugovyi haishi kila saa mzee wako hana furaha na wewe ukipika hakuli anashinda ameona tivi usiku kucha hanunui chakula haoneshi upendo wowote na wewe.(Siri ndio hii )mwanaume akili kidogo sana hebu mumonyore huyo bwana yako (my love niko tayari njoo bwana naumia kuja usome katiba yako)ushamumaliza hna ujanja Tena alafu legea asome kabisaa.akimaliza utaona pesa ukipewa bila kumuliza na hata ukipika atakula pia siku hio atalala mapema na ugovyi utaisha.shida SI yeye ni wewe unamunyima sasa badala ya furaha yeye anakukasirikia yeye shida yke ni huko bedroom na wewe unadhani umemukosea vigine.

Wajamaa makuruti Siri ndio hio.kalia pikipiki yako hapo mbele right ni mafuta na break y mbele na left kuna glachi chini...
26/07/2023

Wajamaa makuruti Siri ndio hio.kalia pikipiki yako hapo mbele right ni mafuta na break y mbele na left kuna glachi chini right Kuna back break left kuna gia mbele ni kuweka nyuma chini ni kukanzol. Sawa wajamaa piko yetu iko na mafuta kwa hivyo inaeza ondoka.tuanze na mguu ya right Kuna Kik kanyaga hio kik na nguvu hakikisha Iko on inaguruma wajamaa basi mkono right kwa mafuta balance pia mkono left glachi aya mkono left legeza vidole hapo kwa glach sawa ishike na ndani ingiza GIA na mbele glachi ikiwa na ndani balance mafuta polepole achilia glachi na sio yote qoata hivi inaondoka polepole ipe mafuta mguu break kidogo ipe gia twa balance mafuta na left vidole vilegee kwa galachi kila ukibadilisha gia galachi ndani ukikanzol glachi ndani (Siri inapeleka piko ni glachi hio peke yke jua kushika glachi viginevyo tumia akili ya kuzaliwa.

25/07/2023

Niko na hotel kila nikipika ugali ya unga ya maindi inaisha haraka na wateja wangu hawabakishi hii ugali na mboga yangu ni kuku.sa ju nataka profit mob nimesiaga unga wa wimbi kesho ndio nitasonga ugali mara mbili mteja wakwanza nitampa ugali mweupe.mteja wa pili ugali wimbi kati ya Hawa nani atanibakishia Mimi mwenye hotel ugali ya kuchemusha kesho k**a profit

Wajamaa tuko njaa kweli but sitaki kukula ugali mob kuna aina tatu ya ugali.ugali ya wimbi ugali ya mtama na ugali ya mu...
25/07/2023

Wajamaa tuko njaa kweli but sitaki kukula ugali mob kuna aina tatu ya ugali.ugali ya wimbi ugali ya mtama na ugali ya muhogo peke take na ugali ya mahindi meupe na mboga yetu ni samaki nataka huyu mlunje asikule ugali mingi nimpee ugali upi?

Mtoto ni baraka kweli maana yesu mwenyewe alisema acheni watoto wadogo waje kwangu true. Basi pin mtoto kitambaa Cha kup...
23/07/2023

Mtoto ni baraka kweli maana yesu mwenyewe alisema acheni watoto wadogo waje kwangu true. Basi pin mtoto kitambaa Cha kupanguza pua lisha moto before uende naye kanisani.hakikisha ako na daipa pia mubebee embe.ule wakunyonya finya maziwa kwa chupa ku avoid kutoa t**i ju maybe jirani ni WAkiume valia nguo ndefu beba leso ndio usipate aibu wakati unanguka beba 50 au 10 usiaibike wakati wakati wa sadaka hii Ni poa

Tafadhali wamama tuvae lon,gi unaweza kuwa unaimba kanisani unaenda kwa roho unaanza kuruka juu huku umejisahau huna kin...
23/07/2023

Tafa
dhali wamama tuvae lon,gi unaweza kuwa unaimba kanisani unaenda kwa roho unaanza kuruka juu huku umejisahau huna kinyasa ndani ya kansu leso hakuna unaonyesha kanisa uchi na niaibu.alafu viongozi na matangazo munaboo mara mama asembuli ohh tunatakiwa pesa y idara 1000 mnatoa kiongozi wa ujensi tulipanga Kila mshiriki anunue simiti mfuko Moja 850 mnatoa Kisha kiongozi wa vijana anasimama tulikuwa tununue vyombo Kila mshirika 500 mnatoa kiongozi wa ushirika mkutano utakuwa Kwa mama Fulani onaobwa utoe pesa ya kitabu 50 mnatoa.kiongozi was sande skuli anasimama pesa ya mtoto kujirejesta na wengine 30 mnatoa mwisho mama pastor anasimama pesa ya chakula ya nyumba ya wamama 500mnatoa. Wimbo wa sadaka mtu na kikapu mbele wimbo toa toa sadaka Yako umutolee bwana mungu wako ujue 100 silivasi hapana aaa Hadi washirika wanakasirika

Address

Kangemi
Kilimani

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Evangelist Ezekiel matende prayer line posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share