Apostle Joshua kiio

Apostle Joshua kiio The Mightiest Man of God

USHUUDA WA KUPATA MUME AT 51 YEARS Alice amepata ndoa akiwa na 51yrs  na Yuko kanisani akimshukuru Mungu Tuliweza kuomba...
30/03/2025

USHUUDA WA KUPATA MUME AT 51 YEARS
Alice amepata ndoa akiwa na 51yrs na Yuko kanisani akimshukuru Mungu
Tuliweza kuomba naye na Mungu amempa Mzee.
It is not too late for you Jesus is still in need to bless you with a marriage and kinds.
Kuna mtu anatanzama maisha yake anaona amechelewa ama amekwama lakini nakusaidia k**a Nabii wa Mungu kuwa it is not late for you in Jesus name.
Kindly reach on WhatsApp:0769959279

JESUS HEALING MIRACLE Maajabu mtoto aliyezaliwa akiwa Sawa kisha baada yauda mfupi akawa mgojwa na ugojwa huo ukamletea ...
20/03/2025

JESUS HEALING MIRACLE
Maajabu mtoto aliyezaliwa akiwa Sawa kisha baada yauda mfupi akawa mgojwa na ugojwa huo ukamletea shida akawa awezi kutbea na kuongea vizuri ( yaani nik**a Pepo la ulemavu)

NABII AMELETA MSAA KWA WENGI ,
Pepo la ulemavu lafukuzwa kabiza na mtoto akawa Sawa.

See working miracle oh my God.

Inawezekana kwa Imani just type Amen if you trust in the name of Jesus Christ.

Welcome: WowNation Kenya ENDTIME PRAYER CENTRE & CHURCH -EMALI TOWN
☎️ 0769 959 279
PROPHET JOSHUA

UCHAWI WA KUIMBA NDOA WAISHA NGUVU Alichukua mume wa rafiki yake akitumia uchawi na madawa ya mganga.Rafiki yake aliyeku...
26/11/2024

UCHAWI WA KUIMBA NDOA WAISHA NGUVU
Alichukua mume wa rafiki yake akitumia uchawi na madawa ya mganga.
Rafiki yake aliyekuwa ameimbiwa mume wake alifika kanisani akaombewa na Mtumishi wa Mungu kuhusu kurejeshewa mume wake.

Baada ya maombi immediately kamba zote za uchawi zilivujika na yule aliyekuwa amemfanyia uchawi ili ndoa yake ivujike akaanza kuchomeka na moto wa roho mtakatifu mpaka akaletwa kwa Madhabahu.

Tayari ndoa yake imerudi na yule mwanamke aliyekuwa amechukua mume wake na kuanza kumdharau Yuko hapa na ameombewa msamaha na tayari amani imepatikana.
PGC MASIMBA CHURCH
☎️0713184844

ALIYEKUWA AMEKATAA NA PESA YAKE AMEMLIPA KISHA AKALIPA DENI ZOTE ALIOKUWA NAYO.alikuja kanisani akilia sana kwa sababu K...
06/11/2024

ALIYEKUWA AMEKATAA NA PESA YAKE AMEMLIPA KISHA AKALIPA DENI ZOTE ALIOKUWA NAYO.

alikuja kanisani akilia sana kwa sababu Kuna Watu wengi waliokuwa wamekataa na pesa yake mpaka biashara yake ikafirisika kwa sababu ya madeni mingi .
Baada ya kuomba naye kesho yake alikuwa anapigiwa simu na kila mtu akitaka kumlipa deni lake.

Nakuombea K**a Nabii wa Mungu ufugulishiwe laini zako zote za kufanikiwa upate pesa na fedha mingi na kulipa kila deni kwa jina la YESU na yeyote ambaye amekataa na kitu chochote chako akupee

PGC MASIMBA TOWN
📞0713184844

INSTANT HEALING AND DELIVERANCE DURING ONE ON ONE."hii sio ugojwa ni uchawi umesukumiwa na utapona Leo"Alikuwa anatibiwa...
05/11/2024

INSTANT HEALING AND DELIVERANCE DURING ONE ON ONE.
"hii sio ugojwa ni uchawi umesukumiwa na utapona Leo"

Alikuwa anatibiwa na haponi lakini akaletwa kwa Madhabahu na Mungu akanionyesha kuwa ni uchawi amesukumiwa na tukaomba pamoja naye na baada ya dakika chache akanyanyuka na hiyo roho ya ugojwa ikakufa kwa jina la yesu kristo

The blood of Jesus Christ is healing.
PGC MASIMBA TOWN
📞0713184844

VIPAWA VINACHIPUKA TENA KWA MADHIBAHU oh Jesus Christ Wengi sana duniani wakone vipawa K**a uchugaji na wimbaji wa nyimb...
04/11/2024

VIPAWA VINACHIPUKA TENA KWA MADHIBAHU oh Jesus Christ

Wengi sana duniani wakone vipawa K**a uchugaji na wimbaji wa nyimbo za Mungu lakini wamekwama kwa kukosa fedha,utaalamu na nguvu na uwezo lakini Hawa walipofika kwa Madhabahu wakilia sana walisaidika kurejesha huduma yao na kufuguliwa VIPAWA VYAO hapo kwa hapo na huduma yao ikaanza .

Umebeba huduma kubwa Sana lakini umeshidwa kabiza Mimi nimetumwa na Mungu K**a Mtume nifugulishe kipawa chako kwa jina la Yesu kristo
Mungu amenipa uwezo na mamlaka ya kuinua Watu wengi waliokuwa chini

*Nakupatia nguvu za huduma
*Nakupatia nguvu na uwezo wa kupata utajiri
*Nakupatia nguvu za Mungu uweze kufanikiwa kimaisha

Ni Nabii wa Mungu Apostle Joshua kiio
Napatikana MASIMBA TOWN along Nairobi to Mombasa road
PGC MASIMBA TOWNSHIP CHURCH
Call/sms 0713184844 see

Wakati Mungu alitaka kutumia watu, aliweka vipawa ndani yao. Nikitia mafuta kwako iko na mamlaka dhidi ya uchawi, magonj...
03/11/2024

Wakati Mungu alitaka kutumia watu, aliweka vipawa ndani yao. Nikitia mafuta kwako iko na mamlaka dhidi ya uchawi, magonjwa, maovu na yale yote iko kinyume na injili ya Yesu.

USIKOSE IBAADA YA LEO

Ushuuda wa Biashara kubwa vile ilianza.

Aliweza kuja kwa Madhabahu akilia sana kwa sababu biashara yake ilikuwa chini sana na ilikuwa unapigwa vita sana na baada ya kuomba akawa na breakthrough,
Leo hii anashukuru Mungu
PGC MASIMBA TOWNSHIP
📞0713184844

MSHALE WA NABII/MTUME UMEKAMATA MCHAWI.Anayeusika na mateso yako tutampata kwa jina la Yesu kristo Familia hii iliweza k...
02/11/2024

MSHALE WA NABII/MTUME UMEKAMATA MCHAWI.
Anayeusika na mateso yako tutampata kwa jina la Yesu kristo

Familia hii iliweza kufika kwa Madhabahu ya Masimba wakiwa wanasubuliwa na wachawi,
*Ndoa kuvujika
*Kukosa kazi
*Umasikini na utasa
*Watoto kuwa wa mwisho darasani.

Tuliweza kuomba na hii familia na kuwalinda kwa damu ya Yesu kristo na aliyekuwa anawasubua kichawi amepatika Asubui akiroga.

Familia hii imekuwa huru na kufuguliwa.
PGC MASIMBA TOWNSHIP CHURCH
We are located along NRB -MBS road
For prayer kindly call 0713184844

Ushuuda wa kurejeshewa kazi na kupandishwa cheo.Aliweza kusimamisha kwa kazi yake kwa sababu alikuwa anafanya kazi na wa...
30/10/2024

Ushuuda wa kurejeshewa kazi na kupandishwa cheo.

Aliweza kusimamisha kwa kazi yake kwa sababu alikuwa anafanya kazi na wao walikuwa na chuki na kumchukia ndipo akiwa kazini alibiwa na boss wake kuwa kazi yake imeisha na afai kuja kazi Tena.
Ndipo alikuja kanisani kwa Madhabahu akanieleza na nikapiga magoti chini na kuomba na Mungu akatenda mhujiza kesho yake akaambiwa arudi kazini na akalipwa mshahara yake yote na kupandishwa cheo na kuogezewa mshahara wake.

Mungu ni mwema kila wakati ikiwa tutamwamini peke yake,hiyo shida unayopitia inawezekana kuwa Mungu anataka kukuinua kupitia hiyo shida na nitakuombea wewe umekosa KAZI upate
Nakuombea biashara
Nakuombea KAZI
Nakuombea cheo

Inuliwa katikati ya watesi wako in Jesus name
PGC MASIMBA TOWN
📞⛽0713184844

There is no weapon formed against you shall prosper.SHUHUDA YA UPONAJI.anashukuru Mungu kwa sababu mume wake alikuwa na ...
27/10/2024

There is no weapon formed against you shall prosper.

SHUHUDA YA UPONAJI.

anashukuru Mungu kwa sababu mume wake alikuwa na mgojwa na kuagaika kwa muda mrefu,wameenda hosipitali zote za Nairobi lakini Mungu akakuja akafugua jia.alikuwa na shida ya blokege ya mkojo akawa awezi kukojoa ni kulia usiku K**a mtoto Sasa akawa alali na watoto awalali .
Akapelekwa hosipitali ya machakos na hawakuwa na pesa lakini Mungu ni mkubwa sababu aliitajika 400k na awakuwa na kitu kwa sababu kwa nyumba walikuwa wameuza vitu vyote .

Mume wake alikuwa afanyiwe operation na akafika kanisani Jumapili tukaomba naye na kurudi hosipitali Dakitari akasema operation anayoitaji kufanyiwa sio ya kupasuliwa.

Saa hii mume wake amepona kabiza na amemtuma akuje kanisani kushukuru na kwa Sasa amepona na kurudi KAZI.
Apostle Joshua Ministries -MASIMBA TOWNSHIP
⛽0713184844

Address

Kilimani Estate
Kilimani Estate

Telephone

+254713184844

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Apostle Joshua kiio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Apostle Joshua kiio:

Share