Newlife Prayer Centre and Church Ezekiel odero

Newlife Prayer Centre and Church Ezekiel odero CHURCH OF GOD

Madhabahu yanayo pigana na maisha yako kwa uwezo wa mungu yabomoke na kukuacha huru kuanzia leo katika jina la yesu kris...
24/07/2026

Madhabahu yanayo pigana na maisha yako kwa uwezo wa mungu yabomoke na kukuacha huru kuanzia leo katika jina la yesu kristo ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Usiku ya leo nakuombea wale watu wengi walio ongea juu yako watakuja wainame wakisema tusamehe kwa ajili ya baraka yako,...
24/07/2026

Usiku ya leo nakuombea wale watu wengi walio ongea juu yako watakuja wainame wakisema tusamehe kwa ajili ya baraka yako,๐Ÿ™ K**a unaamini andika amina na upokee

Ikiwa uko hai wacha kuvunjika roho na usikate tamaa maana mungu anaweza kubadilisha maisha yako,... Nakuombea Baraka kwa...
24/07/2026

Ikiwa uko hai wacha kuvunjika roho na usikate tamaa maana mungu anaweza kubadilisha maisha yako,... Nakuombea Baraka kwa maisha yako katika jina la yesu kristo.

Vile ๐Ÿซต๐Ÿป๐Ÿซต๐Ÿปumeshika hiyo simu yako usipite bila kuambia MUNGU Asante,, haijalishi umepitia mangapi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
24/07/2026

Vile ๐Ÿซต๐Ÿป๐Ÿซต๐Ÿปumeshika hiyo simu yako usipite bila kuambia MUNGU Asante,, haijalishi umepitia mangapi ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Siku ya leo Nakuombea Biashara zenyu zipanuke, Umaskini iwaondokee, Mpate ndoa, Amani kwa familia yenyu, Pokeeni nyota y...
24/07/2026

Siku ya leo Nakuombea Biashara zenyu zipanuke, Umaskini iwaondokee, Mpate ndoa, Amani kwa familia yenyu, Pokeeni nyota ya fedha, Pokeeni nyota ya kazi na Madeni yaishe. Amina

Anaye pigana nawe, mchawi aliye kuroga afe leo๐Ÿ™๐Ÿ™
24/07/2026

Anaye pigana nawe, mchawi aliye kuroga afe leo๐Ÿ™๐Ÿ™

Siku ya leo nikiwa kwa maombi nakuombea yesu atende miujiza maishani mwako siku ya leo, Mtu wa mungu AMINA inatosha๐Ÿ™
24/07/2026

Siku ya leo nikiwa kwa maombi nakuombea yesu atende miujiza maishani mwako siku ya leo, Mtu wa mungu AMINA inatosha๐Ÿ™

SIKU YA LEO NAOMBA WEWE UNAYE SOMA HUU UJUMBE  MUNGU AKUFUNGULIE NJIA YA PESA ๐Ÿ™
24/07/2026

SIKU YA LEO NAOMBA WEWE UNAYE SOMA HUU UJUMBE MUNGU AKUFUNGULIE NJIA YA PESA ๐Ÿ™

POKEA BARAKA TELE MWEZI HUU KWA JINA LA YESU ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ANDIKA AMINA ๐Ÿ™
24/07/2026

POKEA BARAKA TELE MWEZI HUU KWA JINA LA YESU ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ANDIKA AMINA ๐Ÿ™

CHUKUA SEKUNDE MBILI ATAKAMA UMECHOKA ANDIKA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”MUNGU ASANTE KWA KUKUFIKISHA DECEMBER UKIWA MZIMA.., andika big Amen ๐Ÿ™๐Ÿ™
24/07/2026

CHUKUA SEKUNDE MBILI ATAKAMA UMECHOKA ANDIKA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”MUNGU ASANTE KWA KUKUFIKISHA DECEMBER UKIWA MZIMA.., andika big Amen ๐Ÿ™๐Ÿ™

Address

Kilifi
Kilifi
80100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Newlife Prayer Centre and Church Ezekiel odero posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share