A.I.C Nzeveni

A.I.C Nzeveni This is a fan page for members and friends of AIC Nzeveni in Kibwezi East.Welcome

Aic Nzeveni is a Church located in Makueni County,Kibwezi East Constituency within Machinery Division. It is located approximately 2km from Machinery Shopping Centre ,along Nairobi-Mombasa Highway

Welcome all we worship together
16/12/2022

Welcome all we worship together

20/04/2022
16/04/2022

Ni kesho

This is the official YouTube channel for Aic Nzeveni Choir-Kibwezi East. Kindly view, subscribe and share. And you will ...
12/03/2022

This is the official YouTube channel for Aic Nzeveni Choir-Kibwezi East. Kindly view, subscribe and share. And you will be blessed.

a church choir group,

Mathayo 51 Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia;2 akafumbua kinywa...
06/02/2022

Mathayo 5
1 Naye alipowaona makutano, alipanda mlimani; na alipokwisha kuketi, wanafunzi wake walimjia;
2 akafumbua kinywa chake, akawafundisha, akisema,
3 Heri walio maskini wa roho;Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
4 Heri wenye huzuni;Maana hao watafarijika.
5 Heri wenye upole;Maana hao watairithi nchi.
6 Heri wenye njaa na kiu ya haki;Maana hao watashibishwa.
7 Heri wenye rehema;Maana hao watapata rehema.
8 Heri wenye moyo safi;Maana hao watamwona Mungu.
9 Heri wapatanishi;Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki;Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
11 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu.
12 Furahini, na kushangilia; kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni; kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii waliokuwa kabla yenu.Chumvi na Nuru
13 Ninyi ni chumvi ya dunia; lakini chumvi ikiwa imeharibika itatiwa nini hata ikolee? Haifai tena kabisa, ila kutupwa nje na kukanyagwa na watu.
14 Ninyi ni nuru ya ulimwengu. Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.

07/01/2022
06/01/2022
05/10/2021

Address

MOMBASA Road
Kibwezi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when A.I.C Nzeveni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to A.I.C Nzeveni:

Share