17/09/2022
Kwa ajili ya kuishi maisha yenye manufaa kwako na kwa ajili ya wengine lazima ukubali kuwa binadamu ni mavumbi na atarudi mavumbini tu, , , , , , mungu akikupa neema usinyanyase wengine anasema hivi"mimi ndimi ninayepeana na ndimi ninayechukua"LOOK BEFORE YOU LEAP "