Hekima Pentecostal Church-P.A.G

Hekima Pentecostal Church-P.A.G HEKIMA IS LOCATED IN NAIROBI KENYA, KAWANGWARE ESTATE AT SOKO MJINGA MARKET AREA.

07/06/2026
07/06/2026

Malaki 3:10-12
Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema Bwana wa majeshi; mjue k**a sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema Bwana wa majeshi.
Na mataifa yote watawaiteni heri; maana mtakuwa nchi ya kupendeza sana, asema Bwana wa majeshi.

07/06/2026

*NENO LA LEO*
*Matendo ya Mitume 24:1-4*
Baada ya siku tano, Anania, Kuhani Mkuu, akatelemka na baadhi ya wazee pamoja naye, na msemi mmoja, Tertulo, nao wakamweleza liwali habari za Paulo.
Naye alipoitwa, Tertulo akaanza kumsh*taki, akisema, Kwa kuwa mnapata amani nyingi chini yako, Feliki mtukufu, na kwa maangalizi yako mambo mabaya yanatengenezwa kwa ajili ya taifa hili,
basi tunayapokea kila wakati na kila mahali, kwa shukrani yote.
Lakini nisikuudhi zaidi, nakusihi utusikilize maneno machache kwa fadhili zako.

07/06/2026
07/06/2026

Waefeso 6:12-13
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.

Address

Gitanga Road
Kawangware

Telephone

+254720738988

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hekima Pentecostal Church-P.A.G posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share