02/09/2026
Usikose kutazama kipindi cha UKARABATI WA NDOA kupitia Messianic Voice TV!
📌 Mada: Kazi ya kujenga Ndoa safi
🎙️ Nahodha: Pst S.K. Ng'ang'a
👥 Wageni: Bw na Bi Jimmy | Tabby Mwaniki
🗓️ Siku: Alhamisi, 3/9/2026
⏰ Muda: Saa 02:00 PM
📺 Platform: Facebook LIVE (Messianic Voice TV)
Ungana nasi kwa mafundisho na busara zitakazojenga na kuimarisha ndoa yako. Tag mwenzako, share posti hii, na upange kutazama!