Mount Olive fellowship center Nairobi

Mount Olive fellowship center Nairobi sharing the words of God

21/03/2025

Amen

10/08/2021

YN. 12:48 Yeye anikataaye mimi, asiyeyakubali maneno yangu, anaye amhukumuye; neno hilo nililolinena ndilo litakalomhukumu siku ya mwisho.Amina

13/07/2021

;isaya 49:9-12, 9wewe niliyekushika toka miisho ya dunia, na kukuita toka pembe zake, nikikuambia, Wewe u mtumishi wangu; nimekuchagua wala sikukutupa; 10usiogope, kwa maana mimi ni pamoja nawe; usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako; nitakutia nguvu, naam, nitakusaidia, naam, nitakushika kwa mkono wa kuume wa haki yangu. 11Tazama, wote walioona hasira juu yako watatahayarika na kufadhaika; watu washindanao nawe watakuwa si kitu, na kuangamia. 12Utawatafuta wala hutawaona wale wapiganao nawe; watakuwa si kitu;

12/07/2021

Hallo people of God how are you??

26/06/2021

Ajifanyiae marafiki wengi, nikwauangamivu wake mwenyewe. Kwasababu ukiwa nacho watakupenda, ukiinuliwa,watakupenda. nakatika kukupendahuko, wenginewao wanaanza mipango yakukufilizisha, iwe nikazi,ndoa,kipawa,maisha,masomo au biashara, watahakikisha zimeisha. Lakini yuko rafiki moja ambaye ukishikamana naye,hawezi kukuaibisha. akikupenda,anakupenda kabisa yeye nirafiki mwaminifu ukiwa latina shida,magonjwa,kukataliwa,kuteswa ,kuibiwa au kudharauliwa nahata kuwekelewa yale ambayo haujayafanya, yeye ni mwaminifu.rafiki huyu simwingine bali ni Yesu mwana wa MUNGU aliye hai. Mtafute huyo rafiki, nawe utafurahia katika maisha yako.methali 18:24

Address

Kayole
Karen

Telephone

+254790593201

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mount Olive fellowship center Nairobi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share