Kunyakuliwa KWA Kanisa

Kunyakuliwa KWA Kanisa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kunyakuliwa KWA Kanisa, Religious organisation, kangundo, Kangundo.

09/09/2025

Unyakuzi ulianza tangu Yesu alipofufuka na ungali unaendelea hata sasa. Wengine kupitia kifo na wengine watapaa Yesu akishuka mawinguni.

23/11/2020

Bikira hujaribiwa kwa mambo mengi na watu wengi ili kumharibia harusi anayoingojea. Njaa inampata hajui atowe wapi chakula/mafuta na hapo wakora huona mwanya kumjaribu kwa pesa. Akikubali shida hiyo ya muda ataipiga teke lakini heshima na subira ya harusi imekufa sababu wanaume watauharibu ubikira wake. Ndivyo ilivyo na wateule, usikubali vishawishi vya ibilisi kwa ajili ya dhiki ya muda kidogo. Sababu machozi utakayolia yatadumu wakati unawaona wenzako wakiwa harusini pamoja na mwana wa adamu.

28/10/2020

Hakuna siku yenye furaha na utoshelevu wa hisia k**a siku ya kunyakuliwa kwa wateule kutoka katika dunia. Ni nani anayeisubiri siku hiyo ya kumwona bwana yesu akirudi kutuchukua k**a mimi? Je! Tutakuwa na wewe?

20/09/2020

Usijisumbue na haya sababu hutaulizwa mbinguni:
1. Nyama ipi ulikula duniani?
2. Mbona hukuoa/kuolewa
3. Ulishiriki kanisa gani.
MASWALI UTAULIZWA NI K**A:
1. Mbona uliacha mkeo/mumeo
2. Kwa nini hukumwamini yesu
3. Mbona ulitesa wanao
4. Kwa nini ulitumia biblia kujitajirisha
5. Mpango wa kando ulikuwa na faida gani
JINA LAKO MBINGUNI
Litakosekana kwa ajili ya mambo k**a haya, yashughulikie ukaribishwe rahani.

29/08/2020

Kuzaliwa mara ya pili ni kumpokea yesu. Ndipo unamea mbawa za kupaa kumlaki mawinguni arudipo. Ulimpokea lini?

02/05/2019
Karibuni tutamuona tena macho kwa macho. Sisi tusio wayahudi hatukubahatika kumuona Mara ya kwanza. Tumemwamini kwa iman...
26/04/2019

Karibuni tutamuona tena macho kwa macho. Sisi tusio wayahudi hatukubahatika kumuona Mara ya kwanza. Tumemwamini kwa imani lakini karibuni tutamuona kwa macho. Inua macho yako utazame juu.

HAITAKUWA FOLENI K**A VILE UONAVYO HAPA, ITAKUWA KUFUMBA NA KUFUMBUA MLIYESIMAMA NAYE AMENYAKULIWA.
26/03/2019

HAITAKUWA FOLENI K**A VILE UONAVYO HAPA, ITAKUWA KUFUMBA NA KUFUMBUA MLIYESIMAMA NAYE AMENYAKULIWA.

21/02/2019

YESU AKIRUDI HATACHEKA NA WATU, atakuwa hakimu. Kumlipa kila mtu sawa na maisha aliyoishi.

02/02/2019

KABLA KURUDI KWA KRISTO KUTATOKEA MAKRISTO BANDIA. Soma dalili zote za kurudi kwa Yesu uone ni zipi bado.
Mathayo 24:1-, luka 21:1-, Marko 13:1-. Yesu anasema na wewe mteule, inua macho yako sasa utazame juu mahali ukombozi wako unapatikana. Usitazame chini tazama juu.

25/01/2019

Uko tayari Leo Yesu arudi kutuchukua?

Address

Kangundo
Kangundo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kunyakuliwa KWA Kanisa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share