24/07/2022
1Wafalme3:16-27, Wakristo wengi ambao hawana msimamo wako na vipawa, lakini wakati unapowatia wakuhudumu hawajui majukumu yao ila wanajitwika na kung'ang'ania vipawa vya wengine na kujaribu kuviangamiza lakini Mungu atawatambua na kuwakomesha.