PEFA Church Karunga

PEFA Church Karunga A platform to reach out the gospel to all nations.

24/05/2026

Well come to our Sunday service as from 10 30am to 1pm
Theme: know your calling
Exodus 2:2_
Moses was born with a purpose,.To deliver children of Israel from the bo***ge of Egyptian.

17/05/2026

Biblia. Waefeso 6:24
[24]Neema na iwe pamoja na wote wampendao Bwana wetu Yesu Kristo katika hali ya kutokuharibika.
Grace be with all them that love our Lord Jesus Christ in sincerity. Amen. (To the Ephesians written from Rome, by Tychicus.)

17/05/2026

You are all well come to our Sunday service as from 10 30am to 1pm.
Come and have the Grace of God.
Effecian 6 24.

10/05/2026

Well come to our Sunday service as from 10 30am to 1pm
Theme: the fruits of the holy spirit
Wagalatia :5:22_
Come expecting to be nourished by H/spirit

02/05/2026

Biblia. 1 Wakorintho 3:10-14
[10]Kwa kadiri ya neema ya Mungu niliyopewa, mimi, k**a mkuu wa wajenzi mwenye hekima, naliuweka msingi, na mtu mwingine anajenga juu yake. Lakini kila mtu na aangalie jinsi anavyojenga juu yake.
According to the grace of God which is given unto me, as a wise masterbuilder, I have laid the foundation, and another buildeth thereon. But let every man take heed how he buildeth thereupon.
[11]Maana msingi mwingine hakuna mtu awezaye kuuweka, isipokuwa ni ule uliokwisha kuwekwa, yaani, Yesu Kristo.
For other foundation can no man lay than that is laid, which is Jesus Christ.
[12]Lakini k**a mtu akijenga juu ya msingi huo, dhahabu au fedha au mawe ya thamani, au miti au majani au manyasi, kazi ya kila mtu itakuwa dhahiri.
Now if any man build upon this foundation gold, silver, precious stones, wood, hay, stubble;
[13]Maana siku ile itaidhihirisha, kwa kuwa yafunuliwa katika moto; na ule moto wenyewe utaijaribu kazi ya kila mtu, ni ya namna gani.
Every man's work shall be made manifest: for the day shall declare it, because it shall be revealed by fire; and the fire shall try every man's work of what sort it is.
[14]Kazi ya mtu aliyoijenga juu yake ikikaa, atapata thawabu.
If any man's work abide which he hath built thereupon, he shall receive a reward.

26/04/2026

Well come to our Sunday service as from 10 30am to 1pm
Theme: it's by grace we are saved.
Effecian 2:1_3

26/04/2026

Biblia. Waefeso 2:1-3
[1]Nanyi mlikuwa wafu kwa sababu ya makosa na dhambi zenu;
And you hath he quickened, who were dead in trespasses and sins;
[2]ambazo mliziendea zamani kwa kuifuata kawaida ya ulimwengu huu, na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga, roho yule atendaye kazi sasa katika wana wa kuasi;
Wherein in time past ye walked according to the course of this world, according to the prince of the power of the air, the spirit that now worketh in the children of disobedience:
[3]ambao zamani, sisi sote nasi tulienenda kati yao, katika tamaa za miili yetu, tulipoyatimiza mapenzi ya mwili na ya nia, tukawa kwa tabia yetu watoto wa hasira k**a na hao wengine.
Among whom also we all had our conversation in times past in the lusts of our flesh, fulfilling the desires of the flesh and of the mind; and were by nature the children of wrath, even as others.

19/04/2026

Well come to our Sunday service as from 9.30 to1pm
Theme: Enlarge your territory
Isaiah 54:2_5

19/04/2026

Biblia.

Address

Karunga
Gilgil
20100

Telephone

+254723948425

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when PEFA Church Karunga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to PEFA Church Karunga:

Share