14/03/2025
Wadau Alooo, poleni kwa yote, lakini sasa ni wakati wa kuja ku-enjoy vibes nzuri.Tarehe 23 mwezi huu, Jumapili ijayo, kuna tamasha la muziki lisilo na kifani pale Full Gospel Churches of Kenya Embu Town. Hii ni nafasi ya kipekee ya kuja kusherehekea, kuimba, na kufurahi na muziki wa kipekee.
Vitu muhimu usisahau kubeba ni vuvuzela, firimbii, viatu vya kuchezea, na chupa za maji – uwe tayari kwa dancing ya aina yake na furaha bila kikomo! Na k**a una bendera ya Kenya, let it fly juu ya uzalendo wako kabisa.
Karibuni sana kwa Harmony in Worship Season 3. Tutacheka, tutacheza, tutaabudu, na kuungana kwa nguvu,Kuja ukiwa tayari kupatana na Mungu wako na kufurahi pamoja..
And For The Support you can channel through bank or send money-
pochi la biashara- 0759861989
BANK ACCOUNT
PAYBILL
BUSINESS NUMBER-880100
ACCOUNT NUMBER-1000853219