Deliverance church a spring of Life-syokimau

Deliverance church a spring of Life-syokimau Amen

02/07/2024

Nguvu ya SERIKALI hutokana na watu, *THE POWER OF THE GOVERNMENT COMES FROM THE PEOPLE*. Serikali haina nguvu bila watu. John Locke anakumbusha kwamba *Natural Right* ni kwamba binadamu amezaliwa na haki zake za msingi kabisa. Thomas Jefferson aliwahi kusema kwamba WE *ARE NATURALLY EQUAL*. Ni jukumu la serikali kulinda haki za watu wake na siyo vinginevyo. Serikali itakaposhindwa kufanya hivyo inapoteza uhalali wa kuwa madarakani. John Locke anatambulika k**a *FATHER OF LAW*. 📌 K**a unawacheka Gen-Z na kuwaona wajinga kwa wanachokifanya, ni kwamba WEWE hutambui majukumu YAKO na haki YAKO ya msingi au pengine hujabahatika kusoma MISINGI YA UTAWALA BORA...!!!

Address

SYOKIMAU
Embakasi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Deliverance church a spring of Life-syokimau posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Deliverance church a spring of Life-syokimau:

Share