06/01/2026
we as parents tusione mtoto kakosea tuanze kumropokea maneno ya kumlaani
ulimi una nguvu ya kubariki na kuangamiza so k**a mzazi unashinda ukiambia mtoto wako Kila mara mkiwa na ugomvu eti utateseka mwishowe mwanao aanze kuteseka usisingizie mchawi ulimi wako ndo wenye uliweza kumchawi mwanao