H M K, Member of christ.

H M K, Member of christ. Tafakari ya Neno la Mungu na mafundisho yahusuyo Imani na maisha ya binadamu kiujumla.

Mara paa!!! Tuko mbinguni alafu Yesu anatuambia, matoleo mliyokuwa mnatoa kanisani ndiyo matumizi hapa mbinguni🤔🤔. Kuna ...
28/01/2020

Mara paa!!! Tuko mbinguni alafu Yesu anatuambia, matoleo mliyokuwa mnatoa kanisani ndiyo matumizi hapa mbinguni🤔🤔. Kuna watu watakuwa omba omba,😭😭☹️☹️

Ile unajiita msichana kumbe ushotoa mimba zaidi ya moja, alafu siku ya Arusi unasindikizwa na mama yako au shangazi yako...
23/01/2020

Ile unajiita msichana kumbe ushotoa mimba zaidi ya moja, alafu siku ya Arusi unasindikizwa na mama yako au shangazi yako, nawauliza wanasindikiza msichana kaolewa au ni mama mwenzao?

Yesu ndiye mlinzi wetu na mchungaji wetu mwema.
10/01/2020

Yesu ndiye mlinzi wetu na mchungaji wetu mwema.

Tunapoelekea kumaliza mwaka nawatakia kila  baraka na neema mfike 2020 na tuwe na mafanikio makubwa.
30/12/2019

Tunapoelekea kumaliza mwaka nawatakia kila baraka na neema mfike 2020 na tuwe na mafanikio makubwa.

27/12/2019

Mwaka unaisha malengo yako ya mwaka mpya usimsahau Mungi.

09/12/2019

Ukifa moyo wakati wa shida basi wewe ni dhaifu. Jifunze kutokata tamaa maishani.

07/12/2019

Kesheni kila wakati maana hamjui siku wala saa ajapo mwana wa Majilio njema wapendwa.

21/09/2019

K**a injili ya Luka 16: ya kesho karani mjanja angekuwa wewe boss kataka kukutimua ungefanya K**a yeye ili wakukaribishe ufukuzwapo kazi. .

17/09/2019

Mungu ni Kila kitu je, unaamini?

Mungu yupo upande wangu nitashinda majaribu yote.
09/09/2019

Mungu yupo upande wangu nitashinda majaribu yote.

Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele, Kinachokuzuia ni Nini ndugu kukomunika ondoa kikwazo mbel...
30/08/2019

Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao uzima wa milele, Kinachokuzuia ni Nini ndugu kukomunika ondoa kikwazo mbele yako mpokee Bwana Yesu.

29/08/2019

Watu wasiomtii Mungu mwisho wao itakuwa tabu saana.

Address

Mumbai

Telephone

0713532241

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when H M K, Member of christ. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share