Gcglobaltv Mungu akitaka kumsaidia mtu, humtumia msaada kwa kupitia mtumishi wake ili afanyike daraja la kufika alipokusudiwa mtu na Mungu. Ameen
mfano.
1.

Wana wa Israel & M***a.
2. Yoshua & Wana wa Israel.

20/07/2022

MMTU ALIYE IONA KESHO YANGU.... AKANIINGIZA KWENYE KESHO YANGU.

MY DADY. Dr Josephat Gwajima

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATU WOTE.Pastor Masanja.. atakuwepo katika KONGAMANO Hilo wewe Sasa Unasubili Nini. Jisajili ...
20/07/2022

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATU WOTE.

Pastor Masanja.. atakuwepo katika KONGAMANO Hilo wewe Sasa Unasubili Nini. Jisajili Sasa kupata ticket Yako mapema Ili uhudhulie katika KONGAMANO Hilo.

.... ... .... ?

20/07/2022

Bishop Dr Josephat Gwajima..
Sauti ya mtu aliaye mjini na nyikani.
Mtu wa saa yake na harufi nyuma katika saa yake.

Ufufuo Na Uzima Biharamulo  Ibadaa iliyojaa mujiza mkubwa ambapo ardhi iliyofukia nyota zetu leo inakwenda kupasuka na k...
26/06/2022

Ufufuo Na Uzima Biharamulo
Ibadaa iliyojaa mujiza mkubwa ambapo ardhi iliyofukia nyota zetu leo inakwenda kupasuka na kuziachia na mwisho kuzimiliki ni leo karibu saan🙏🏽🙏🏽🙏🏽

KUFUNGWA KATIKA ARDHI YA NYUMBANI.    BY. PASTOR TORATI NESTORYUFUFUO NA UZIMA BIHARAMULO
15/06/2022

KUFUNGWA KATIKA ARDHI YA NYUMBANI.

BY. PASTOR TORATI NESTORY
UFUFUO NA UZIMA BIHARAMULO

14/06/2022



Karibu sana katika kanisa la Ufufuo Na Uzima Biharamulo tunapatikana Ng'ambo. Karibu sana. Huduma ya maombi na maombezi inapatikana.

Nitafute Kwa namba hizo hapo chini Kisha nikuhudumie na Mungu atakusaidia. Amina.

09/06/2022

IMANI JUU YA MAMBO YOTE

Unapo kua na amani juu jambo lolote ndipo IMANI hufuata, Ukiwa na AMANI ndani Yako na IMANI huja ndani Yako, Ukiwa na AMANI juu ya afya yako na IMANI huja juu ya afya yako.

Nakuombea Mungu akupe AMANI na ikuzalie IMANI na Imani ikuzalie MATUMAINI na matumaini yakuzalie ushindi juu ya mambo Yako yote.AMINA.

BY. MCHUNGAJI TORATI NESTORY.
CALL: +255 (0) 652 644 252, +255 (0) 624 834 474

Kwenye maisha Kuna mambo 2 ya muhimu sana ambayoukiyafanya na kuyasimamia utapata upenyo katika Bwana 1/kufunga kwa kunu...
09/06/2022

Kwenye maisha Kuna mambo 2 ya muhimu sana ambayoukiyafanya na kuyasimamia utapata upenyo katika Bwana
1/kufunga kwa kunuia
2/kutafta neno la kunag'ania

1: KUFUNGA KWA KUNUIA.

Kufunga kwa kunuia ni kufunga ukiwa umedhamilia na kukifunga nafsi yako kwa maombi na kunakua na andiko Moja ambalo unakuwa umelisimamia katika maombi Yako.

Huu ndio mfungo wa kunuia na WA wakati mwingine usifanye ukiwa mbali na nyumba ya Mungu.

2. KUTAFUTA NENO LA KUSIMAMIA

Jambo la pili kwa UMUHIMU ni kuwa na Andiko au Neno la kusimamia ambalo linahusishwa na jambo lako au shida Yako au uhitaji wako mbele za Mungu aliye hai.

Mungu Huwa analitizama neno lake Ili apate kulitimiza.Amina.
Karibu sana ufufuo na uzima Biharamulo kwa Mafundisho zaidi kuhusu Mungu na Neno lake.

By: MCHUNGAJI.TORATI NESTORY
Call 0757 465 587, 0624 834 474.

Ujenzi wa nyumba ya Mungu unaendelea katika kanisa la ufufuo na uzima Biharamulo.Nakukaribisha katika ujenzi wa kanisa.P...
09/06/2022

Ujenzi wa nyumba ya Mungu unaendelea katika kanisa la ufufuo na uzima Biharamulo.

Nakukaribisha katika ujenzi wa kanisa.

Picha baadhi apo chini zinaonesha ujenzi unavyo endelea karibu kuchangia ujenzi kwa chochote utacho barikiwa. Karibu sana

TUMA KWA NAMBA HIZI : 0757 465 587, 0624 834 474.

Mchungaji Torati Nestory .

IBADA YA JUMAPILI || BIHARAMULO || 05/06/2022                   MCH: TORATI NESTORY           SOMO: CHAKULA CHA KICHAWI ...
09/06/2022

IBADA YA JUMAPILI || BIHARAMULO || 05/06/2022
MCH: TORATI NESTORY
SOMO: CHAKULA CHA KICHAWI

Chakula Cha kichawi ni Chakula ambacho kina jihusisha na mambo 2 kwa mwanadamu
1:kuunganishwa Nafsi
2: kuunganishwa kiroho

Soma maandiko haya yatakusaidia
Zakaria7:6
Wakorinto 10:31
Waflme 4:38_41
Hesabu25:1_3

FANYA MAMBO HAYA

>Baba katika jina la Yesu kristo nashukuru kwa neno na mafundisho haya. Kuanzia Sasa navaa mamlaka katika ulimwengu wa roho.

>Nakemea chakula Cha kichawi kitoke ndani yangu ulimwengu wa roho na ulimwengu wa mwili, katika jina la Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai.

> Nina achilia Roho Mtakatifu ndani yangu, Nina yeyusha kila chakula kitoke ndani yangu katika jina la Yesu kristo. AMINA

>Hongera sana kwa maombi haya. Hongera kwa kumshinda shetani.

By: MCHUNGAJI: TORATI NESTORY

CALL:0757 465 587, 0624 834 474

26/05/2022
MKESHA MKESHAKesho siku ya ijumaa kutakuwa na mkesha na maombi makubwa mnoo yatakayo leta KUFUNGULIWA na KUPOKEA kutoka ...
19/05/2022

MKESHA MKESHA

Kesho siku ya ijumaa kutakuwa na mkesha na maombi makubwa mnoo yatakayo leta KUFUNGULIWA na KUPOKEA kutoka kwa BWANA.

Lakini pia tutakuwa na Maombi makubwa ya KUBOMOA MADHABAHU.

Haya yatakuwa maombi makubwa mnoo, tutaanza saa 1:30 Mpaka saa 6:30 usiku. Usihofu tutakuwa hewani/on line kupitia page hii.

Ufufuo na uzima biharamulo Kagera
Pastor Torati Nestory
Call. 0757 465 587, 0624 834 474

Adresse

Biharamulo-ng'ambo
Kagera

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Gcglobaltv publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter Le Lieu De Culte

Envoyer un message à Gcglobaltv:

Partager