16/08/2026
5 CELPA SMYRNE GOMA
CULTE DOMINICAL DU 16 AOÛT 2026
PRÉDICATION
ORATEUR : RÉV.PASTEUR KISAMBILA BARUANI BENJAMIN
SOMO KUBWA : " BWANA MUNGU MUNGU AKA MGEUKIA , AKA MWAMBIA : ENENDA NA ULE NGUVU UNAYO"
Références bibliques :JUGES 6 : 11-14;
NYIMBO YA WOKOVU: 186
Kwa usomu huu tunaona historia ya GIDEONI ,
Mungu aka amua kuja ku komboa taifa ya israeli. Aka mjia gideoni akisema : " Bwana yu pamoja nawe , ewe shujaa"
Bwana aliona ushujaa wa upekee wa gideoni, haku waita watu wengine.
Kila mtu ikiwa umeitwa na Mungu, shik**ana na kazi uliyo pewa.
Ndani ya biblia tunaona mashujaa mengi walio simama, naku tembea na Mungu k**a vile : samsoni, daudi mbele goliati, na wengine ....
Kwa 1 wakorintho 9:23 , paulo anasema :"ninafanya yote kwa ajili ya injili, ili nami ni shiriki na wengine "
Mungu amekupa uwezo , kwanini usimtumikie Mungu kufuatana na uwezo ule ?
K**a wkristo tuwe wanifu mpaka kufa nasi tuta pokeya taji ya uzima
Anaye kua mwaminifu kwa machache , atakua pia mwaminifu kwa mengi
tumikia Mungu sawa sawa na uwezo Mungu alio kupatiya , inaeza kua uwezo kubwa ao ndogo, wewe kua mwaminifu tuh mbele za Mungu.
Mungu atu bariki na atu wezeshe sote amen !
# SERVICE MULTIMÉDIA CELPA-SMYRNE GOMA