27/01/2026
📢 TANGAZO IBADA ZA MAOMBI_SIKU YA TATU📢
Wapendwa wakristo wote wa CBCA KATOYI, popote tulipo,
tunaalikwa kwa wingi kuja kushiriki ibada za maombi kesho, Siku ya Tatu – tarehe 28/01/2026.
⏰ Asubuhi: 6h00’ – 7h15’
📍 Salle de fête
⏰ Jioni: 15h00 – 17h00
📍 Hekaluni
*Karibieni tushikamane katika maombi*, tukimtafuta Bwana kwa moyo wetu wote.
Karibu sana — usikose!