Kanisa La MUNGU BABA Siloamu

Kanisa La MUNGU BABA Siloamu Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Kanisa La MUNGU BABA Siloamu, Organisation religieuse, Katoyi, Goma.

Moyo safi
16/12/2024

Moyo safi

03/12/2024

Nimeshawahi kupoteza VITU ambavyo niliamini bila kuwa navyo sitaweza kuishi vizuri.

Nimeshawahi kupoteza WATU ambao niliamini bila kuwa nao sitaweza kufika ninakokwenda.

Nimeshawahi kupoteza NAFASI ambazo niliamini nikizikosa sitaweza kutimiza malengo yangu tena.

Kuna wakati unafika katika maisha UNAJIAMINISHA MOYONI.....au unaaminishwa na WANAOKUZUNGUKA kuwa bila MTU FULANI au KITU fulani basi ndio utakuwa MWISHO wa safari yako.

Katika nyakati k**a hizo niliwahi kupewa neno la HEKIMA ambalo limekuwa msaada mkubwa sana siku zote za maisha yangu.

Niliambiwa kuwa “Sio kila UNAYEMPOTEZA au kila UNACHOPOTEZA ni HASARA KWAKO”.

Ukiambiwa neno hili katikati ya maumivu hauwezi kuelewa.

Ila baada ya muda nimegundua lina ukweli ndani yake.

Kuna mabadiliko lazima yatokee kwanza ili uwe vile unavyotaka.

Kuna watu ambao lazima WAONDOKE kwenye maisha yako usogee hatua unayopata.

Kuna wengine inalazimika wapoteze kazi zao za sasa ili wapate kazi kubwa zaidi.

Kuna wengine inalazimika WAKATALIWE kwenye mambo fulani ili wapate hasira ya kufanya kitu wanachotakiwa kufanya.

Kuna wakati mtu unakuwa “so relaxed” na hautaki kusumbuliwa kwa namna yoyote.

Mungu anapokuangalia anajua ukiendelea hivyo HAUTAKUWA vile unatakiwa KUWA na HAUTAFIKA kule unatakiwa KUFIKA.

Lazima meli ipitie DHORUBA ili UTUPWE BAHARINI na umezwe na SAMAKI kisha akakutapike unakotakiwa kwenda.

Sio kila DHORUBA inapokuja, ukimuomba MUNGU ataiondoa.

NYINGINE AMEILETA ili: AKUTENGE na baadhi ya VITU, akutoe katikati ya WATU FULANI...
.au akutoe kwa LAZIMA eneo ambalo ukiendelea kuwepo UTADUMAA na utashindwa kufikia kilele cha MAFANIKIO YAKO.

Nakuombea AKILI yako ifunguke na USING’ANG’ANIE WATU ambao unatakiwa kuachana nao.

Bienvenue Sur la chaîne de Hazina Et Abonné Vous SVP pour profiter beaucoup des vidéos
20/04/2024

Bienvenue Sur la chaîne de Hazina
Et Abonné Vous SVP pour profiter beaucoup des vidéos

Share your videos with friends, family, and the world

Njoo Vijana
10/01/2024

Njoo Vijana

Sikiliza Nabii Eliya Ad2 alivyokuwa akiwaita na waita Vijana Kwenye wokovu
10/01/2024

Sikiliza Nabii Eliya Ad2 alivyokuwa akiwaita na waita Vijana Kwenye wokovu

10/09/2023

Adresse

Katoyi
Goma

Téléphone

+243825508576

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Kanisa La MUNGU BABA Siloamu publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager