Sheikh Sulaimani doyen/Goma

Sheikh Sulaimani doyen/Goma Kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwislam

Wafahamu wale waliolaaniwa na Allah
31/05/2026

Wafahamu wale waliolaaniwa na Allah

Enjoy the videos and music you love, upload original content, and share it all with friends, family, and the world on YouTube.

Ewe Mwenyezi Mungu, tukubalie swaumu zetu, swala zetu na dua zetu. Utusamehe madhambi yetu, ututakase nyoyo zetu, na utu...
17/02/2026

Ewe Mwenyezi Mungu, tukubalie swaumu zetu, swala zetu na dua zetu. Utusamehe madhambi yetu, ututakase nyoyo zetu, na utuandike miongoni mwa wenye kufaulu katika mwezi huu mtukufu.

Valentin day haifai katika uislaamNatowa Nasaha
14/02/2026

Valentin day haifai katika uislaam

Natowa Nasaha

05/02/2026

Nasomesha...

Kwa kina Mama na Dada .

Tizameni na zingetiyeni sana yanayosema ndani ya hii vidéo

Nasomesha.Hizi tabiya zakujali watu wakati hawapo tena duniyani tuziache, k**a ni mapenzi basi tupendane tukiwa wazima.K...
05/02/2026

Nasomesha.

Hizi tabiya zakujali watu wakati hawapo tena duniyani tuziache, k**a ni mapenzi basi tupendane tukiwa wazima.

Kipenzi cha watu na Malaaika

🟢🇮🇩 INDONESIA: WAPENZI WAWILI WAMETANDIKWA VIBOKO 140 MBELE YA WATU KWA KUJAMIANA😲. Ni adhabu kali iliyotolewa siku ya A...
03/02/2026

🟢🇮🇩 INDONESIA: WAPENZI WAWILI WAMETANDIKWA VIBOKO 140 MBELE YA WATU KWA KUJAMIANA😲.

Ni adhabu kali iliyotolewa siku ya Alhamisi huko Aceh, Indonesia.
WAPENZI WAWILI WAMETANDIKWA VIBOKO 140 MBELE YA WATU KWA KUJAMIANA KWA INJE YA SHERIA NA KUNYWA POMBE.

Mbele ya umma, mwanamume na mwanamke walipigwa mgongoni kwa fimbo. *Mwanamke alipoteza fahamu baada ya adhabu hiyo*. Jimbo hilo ndilo pekee nchini Indonesia linalotekeleza sheria ya Kiislamu kwa ukali. Mkuu wa polisi alisema: 🗣️ "Hatufanyi ubaguzi wowote". 😲 Hata askari mmoja wa polisi alipigwa fimbo siku hiyo hiyo kwa kosa lile lile. Adhabu hizi za umma zinaungwa mkono na sehemu ya watu wa eneo hilo ili kuhakikisha sheria za kidini zinatimizwa. Ni adhabu kali inayokumbusha ukali wa sheria zinazotumika katika eneo hilo la dunia.

Allah atuweke miongoni mwa wanao heshim mipaka yake.

17/08/2025
18/11/2023

Tutakuwa katika hatari pale tunapo ifanya duniya itawale nyoyo zetu.

Allah atunusuru

Yaa Rabb wajaaliye Nusra yako waja wako Palestine.. balaa limekua kubwa yaa Rabb...Inna lillahi wa Inna ilaihi Raajioun
06/11/2023

Yaa Rabb wajaaliye Nusra yako waja wako Palestine.. balaa limekua kubwa yaa Rabb...

Inna lillahi wa Inna ilaihi Raajioun

Adresse

Goma

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Sheikh Sulaimani doyen/Goma publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter Le Lieu De Culte

Envoyer un message à Sheikh Sulaimani doyen/Goma:

Partager