Communauté Christ Sauve

Communauté Christ Sauve Informations de contact, plan et itinéraire, formulaire de contact, heures d'ouverture, services, évaluations, photos, vidéos et annonces de Communauté Christ Sauve, Organisation religieuse, Avenue Lurhuma Karhale, Bukavu.

19/08/2026

Hauta ishi makubwa ya Mbinguni k**a hauja shika kuzaliwa upya ! Uifanyi kweli mu mawazo yako!

19/08/2026

Maranyingi watu wangisikiya sauti ya utowaji , wanazoweya kusita , ila nimoja wa vitu vinaleta ufungulivu, ...

Kanisa ndiyo familia ya kweli , wakati unaokoko uko tajiri kweli kweli !
03/08/2026

Kanisa ndiyo familia ya kweli , wakati unaokoko uko tajiri kweli kweli !

03/08/2026
03/08/2026

Njisi gani yakutoka katika kifungo ( How to get free )

1. Gunduwa kifungo na chanzo chake ( fuatiliya ujuwe)
2. Pambana na hicho kifungo
3. Futa hicho kifungo
4. Weka kitu kingine nafasi yahicho kifungo .

Siku kuu njema ya wazazi kwa wazazi wa Rv. Pasteur Shujaa kahiriri Robert Fadhili za Mungu ! Yesu-Kristo awabari zahidi ...
01/08/2026

Siku kuu njema ya wazazi kwa wazazi wa Rv. Pasteur Shujaa kahiriri Robert Fadhili za Mungu ! Yesu-Kristo awabari zahidi myaka mingi yenye furaha .tunawapenda sana ninyi ni baraka kwetu .

Kristo aokowa , kwetu Kristo ni yote !
27/07/2026

Kristo aokowa , kwetu Kristo ni yote !

Ndowa na ieshimiwe na watu wote !
22/07/2026

Ndowa na ieshimiwe na watu wote !

18/07/2026

Amini Yesu-Kristo !

Adresse

Avenue Lurhuma Karhale
Bukavu

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque Communauté Christ Sauve publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager