8è Cepac Ushirika kijana/ bukavu

8è Cepac Ushirika kijana/ bukavu Bonjour, nous sommes l'église 8è CEPAC USHIRIKA KIJANA, nous sommes situées sur l'Avenue LOWA, commune de KADUTU, dans la ville de BUKAVU en RDC,,,,,,,

SOMO: KUMUTIMIKIYA MUNGU NA MALI ZETUKutoka 10:23-2623 hawakupata kuonana mtu na mwenziwe, wala hakuondoka mtu mahali al...
03/07/2026

SOMO: KUMUTIMIKIYA MUNGU NA MALI ZETU

Kutoka 10:23-26
23 hawakupata kuonana mtu na mwenziwe, wala hakuondoka mtu mahali alipokuwa muda wa siku tatu; lakini wana wa Israeli wote walikuwa na mwanga makaoni mwao.

24 Farao akamwita Musa, na kumwambia, Haya, nendeni, mkamtumikie Bwana; kondoo zenu na ng'ombe zenu tu na waachwe; watoto wenu nao na waende pamoja nanyi.

25 Musa akasema, Ni lazima utupe mikononi mwetu na wanyama wa dhabihu na wa sadaka za kuteketezwa, ili tupate kumchinjia Bwana Mungu wetu dhabihu.

26 Makundi yetu pia watakwenda pamoja nasi; hautasalia nyuma hata ukwato mmoja; kwa maana inampasa kutwaa katika hao tupate kumtumikia Bwana, Mungu wetu; nasi hatujui, hata tutakapofika huko, ni kitu gani ambacho kwa hicho inatupasa kumtumikia Bwana.

Appel Aux disciples  (classe de discipolat).Pour plus d'infos contactez :+243 997 604 627+243 970593 351
03/07/2026

Appel Aux disciples (classe de discipolat).

Pour plus d'infos contactez :

+243 997 604 627
+243 970593 351

Prière de remerciement à Dieu.kuanza mwaka, nakufika katikati. Haiko kila mtu
11/06/2026

Prière de remerciement à Dieu.

kuanza mwaka, nakufika katikati. Haiko kila mtu

Vous êtes des bienvenus
22/05/2026

Vous êtes des bienvenus

20/05/2026
Special Culte des jeunes.
19/05/2026

Special Culte des jeunes.

Tunawaalika Ku huzuriya kwa maombi ya juma ya pentekoste, itakayo anza iyi siku ya kwanza mpaka siku ya tano ( 18/05/202...
17/05/2026

Tunawaalika Ku huzuriya kwa maombi ya juma ya pentekoste, itakayo anza iyi siku ya kwanza mpaka siku ya tano ( 18/05/2026 - 22/05/2026) kwa kanisa la 8è CEPAC USHIRIKA KIJANA.

Saa: Asubuhi : 7h00 mpaka 9h 00
Jioni : 17h00 mpaka 18h00

Thème : LA JEUNESSE SYNERGIQUE
15/05/2026

Thème : LA JEUNESSE SYNERGIQUE

La chorale Zaburi de l'église 8è CEPAC USHIRIKA KIJANA organise un concert de louange et adoration dénommé SIFA NI ZA BW...
15/05/2026

La chorale Zaburi de l'église 8è CEPAC USHIRIKA KIJANA organise un concert de louange et adoration dénommé SIFA NI ZA BWANA.

Ce concert aura lieu le mardi 30 Juin 2026, à l'église 8è CEPAC USHIRIKA KIJANA, sise sur l'avenue Lowa quartier Kasali, derrière le centre hospitalier Saint Vincent.

KARIBU SAAANA

Adresse

Commune Da KADUTU
Bukavu
06

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque 8è Cepac Ushirika kijana/ bukavu publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Raccourcis

Partager