19/08/2026
📢 TANGAZO – CHANNEL YA YOUTUBE YA KANISA
Ndugu wapendwa, Kanisa letu lina Channel rasmi ya YouTube, ambapo tunashirikisha mafundisho, ibada, vipindi na shughuli mbalimbali za Kanisa.
🙏 Tunawaalika ku-subscribe kwenye Channel yetu, kubonyeza 🔔 ili kupata taarifa za video mpya, na kushirikisha wengine ili Neno la Mungu liwafikie watu wengi zaidi.
Asanteni kwa ushirikiano na msaada wenu!
— Huduma ya Media
KANISA INAPATIKANA SUD-KIVU,BUKAVU BRASSERIE BURHIBA